Hahaha !Hapo kinachotafutwa ni posho tu ya vikao
Wataendelea kuhadaa watumishi hadi lini ?hiyo ripoti itaishia kabatini
TruePoverty mentality
Hapa sio private na government bali ni TAMISEMI na Mashirika ya umma.MfanoHao ni waajiriwa wapya au ni wale wale aliowakuta tangu enzi?? Wanaendelea kuvuta muda huku mkiwa mnatarajia nyongeza tu. Tangu uhuru, tofauti ya Private sector na Government ipo na itaendelea kuwepo. Hata tukimaliza chuo kimoja na kupata alama sawa. Private sector lazima akuzidi tu wewe wa serekalini
Aksante kwa kunifafanulia. Hao wote sawa kwani ni watoto wa mama mmojaHa
Hapa sio private na government bali ni TAMISEMI na Mashirika ya umma.Mfano
Mwanasheria wa halmashauri na mwanasheria wa TANROAD