Sio mtoto wa jirani mkuu, ni mtoto wa jirani wa kaka yake.Wewe mtoto wa jiran anakuhusu nn kama sio kiherehere? Fanya yaliyokupeleka hapo basi
Sijakuelewa kabisa unauliza au umesimulia kisa hichoHabari wana JF. naomba kujuzwa katika hili
Nilipata likizo na nikaona niende kwa kaka angu
Na kufika mambo yalikua safi.
Lakini hapo nilipo fikia kwa kaka angu ana jirani ake
Na jirani ana watoto na moja kati ya watoto.
Ni amekua na tatizo la kutoelewa, mfano akitoka shule ye ni michezo na hata wakimwambia fanya hiki matokeo hafanyi. Kuuliza na kutaka kumfahamu miaka yake 12 yuko darasa la7 ni binti hata shuleni pia hafanyi vizuri sana.
Nikaona nipite JF pengine nikajua zaidi mengi ktk hilo tatizo
MWENYE KUELEWA TAFADHALI.
Kwani si tuliambiwa kuwa mtoto wa mwenzako ni wako? Imekuaje tenaWewe mtoto wa jiran anakuhusu nn kama sio kiherehere? Fanya yaliyokupeleka hapo basi
Mwache ahoji mkuu kuna leo na kesho huyo mtoto unamkuta kawa daktari then ndo unatakiwa uwache tako wazi akudunge sindano!..😂Wewe mtoto wa jiran anakuhusu nn kama sio kiherehere? Fanya yaliyokupeleka hapo basi
mbona mapema, subiri amalize msingi ndio uombe mbususuHabari wana JF. naomba kujuzwa katika hili