Jiheshimu.Jieshim
Hili swali na Mimi nimejiuliza SanaKwani mwalimu wako wa tuisheni kasafiri?
Hapo mleta mada utakuta yupo chini ya mkorosho kavua na shati,kisha jaza tumbo lake kwa dona na bamia,akaamua kuingia JF ili kupunguza tu shibe yake.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kosa lake ni nini jaman[emoji23],
Toeni maoni yenu kuhus shoo za kibabe kama yake