Je, ipi ni nafasi ya binadamu linapokuja suala la propaganda za kiimani?

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Ni wazi kuwa imani imeanzishwa mahususi kuwa sera kuu ya kampeni inayofanywa na kikundi cha viumbe tusiowafahamu vizuri iwe kwa ubii, wajihi au maumbile zaidi ya kuamini mapokeo ya kile tulichosimuliwa nakuaminishwa kuwa ni sawa.

Leo hii kila binadamu anajikuta fahamu zake zikiangaika kujua kati ya Mungu na Shetani amchague yupi? Kila binadamu anajitengenezea mazingira ya kufanya matendo yake kumu-impress yeyote kati ya hao viumbe wawili akitegemea thawabu fulani au adhabu fulani kutoka kwao endapo tu akienda kinyume nao.

Inaeleweka Mungu kupitia mafundisho yake ni mtawala wa vyote yaani mbingu na ardhi na ana nguvu kubwa ya ushawishi mbinguni kuliko ilivyo duniani, na Shetani pia ana nguvu kubwa kuzimu kuliko duniani. Japo kwa percentage fulani nguvu ya shetani duniani ni kubwa kuliko ya Mungu, kiasi cha Mungu mwenyewe kukiri kuwa Shetani ndiye mtawala wa dunia.

Mabwana hawa wawili na ugomvi wao nakugawanyika kwa majeshi yao katika makundi ya malaika na majini au mapepo nikiri kuwa binafsi kama binadamu hayanihusu, ni sawa uzaliwe katika familia yenye wazazi waliokorofishana na kutalakiana halafu kila mtu akulazimishe kuchukua upande wake au kumuunga mkono kwa namna yeyote ile, huku wakati wakigombana wao ukuwepo wala kushirikishwa, cha zaidi kama mtoto mwenye akili timamu na maadili mema utaishia kuwachukulia wote kama wazazi.

Kila mmoja anajinadi kwa namna yake akiuza SERA zake kwa wananchi(binadamu) kupitia chombo kinachoitwa IMANI(Katiba) inayofikishwa kwa walengwa kwa njia ya DINI (Chama cha siasa) na jimbo au miliki wanayoiwania ni DUNIA na kwanini ni dunia tu? Wanadai kwa kuwa mmoja wao (Mungu) ameiumba na sisi pia ni mali yake. Pia Shetani alitudanganya tukamuasi Mungu eti nae hivi sasa ni mtawala wa dunia.

Tunaambiwa kuwa Shetani alishathibitika kuwa na makosa na mahakama ya mbinguni ikahamuru atupwe kuzimu na jeshi lake lote baada ya kushindwa vita ila bado Mungu akampa nafasi huyu bwana kuendelea kutawala nakuendesha shughuli zake duniani akishawishi(kulaghai/kusema uongo) binadamu wamuunge katika
kampeni yake na Mungu vilevile akitupa karata zake vyema kwenye mchakato huu kuakikisha nae anajitwalia wafuasi wakutosha.

SHETANI; tunaambiwa kuwa ndiye Baba wa uongo na mfalme wa dunia tunayokaa, kumaanisha kila unachokiona ikiwemo dini zote za dunia hii umwabudu yeye, tawala zote juu ya nchi za dunia hii umwinamia nakufuata muongozo wake, maarifa, uponyaji au uangamizaji, biashara na nguvu za majeshi na sayansi vyote vipo mikononi mwake.

MUNGU; tunaambiwa ndo muumba na mzazi wa kila kilichopo na kisichokuepo, kinachoonekana na kisichoonekana, kiufupi ndiyo owner wa ulimwengu usio na mipaka, sifa yake kuu ni upendo na ukamilifu,

mategemeo yake tuishi kwa haki, mema na furaha, kwa bahati mbaya njia ya kumfikia yeye anavyodai mwenyewe ni nyembamba mno kwa maana wafuasi wa kampeni zake ni wachache tu umtambua nakumfuata, kwani wengi wa wafuasi wake uchanganya madesa nakushindwa kujua yupi ni yeye kati ya yake yeye Mungu na Shetani yupi ni sauti ya Mungu wa kweli kupitia maandiko matakatifu wanayoyaamini.

Inasemekana hata hili pia ni lengo la Shetani huyu huyu kutengeneza confusion kwa kuwa ndiye gwiji katika uongo na kwa uwezo halio nao basi ulimwengu mzima hata sasa uishi nakuamini kupitia uongo wake, swali ni je, kwanini Mungu ameingia kwenye battle hii huku akijua kuwa SIASA ni uongo na katu UKWELI hauwezi kuibuka mshindi juu ya UONGO linapokuja suala la Siasa?

Pengine UONGO ushinda dhidi ya UKWELI linapokuja kwenye SIASA za dunia kwa kuwa Shetani kakita kambi huku lakini katika ulimwengu mwingine ni kinyume chake, Hivyo ningeomba hilo tuwaachie wao maana wanajua kampeni zao zinalengo gani.

Kumbuka siku zote mwanasiasa ufanya matamanio yake yaonekane kama ni matimizo ya shida za wengine. Shetani anafanya yake kwa kutushawishi kwa mali na maarifa yakidunia na Mungu pia utukonvisi kwa namna yake ya kipekee ya uaminifu,huruma na utendaji mema.

Hivyo ni juu yetu walengwa kuamua yupi tumfuate na siyo kuwa sisi ndiyo kuni zitakazotekezwa huko jehanamu kwa kushindwa kuegemea upande wowote kati yao wote.

Binafsi sioni kama ipo haja ya mwanadamu kuendelea kudeal na hizi concept au propaganda ambazo hazimuhusu zaidi ya kuzipotezea, maana cha kwanza zimekaa kufikirika na hata kama ni kweli then bado mwanadamu anaingizwa au kutumika kuprove uhalali wa tawala fulani usiomuhusu.

Pili binadamu nae ana haki na dunia yake na ukizingatia umri wake ni mfupi wa kuishi na kuendeleza kizazi chake, kwanini aendelee kuishi kwa hofu na taabu zakusurvive juu ya uso wa dunia huku akitafakari amchague nani kati ya Mungu au Shetani, hili azawadiwe kile alichoaidiwa wakati wa kampeni kuhusu uzima wa milele na raha tele.

Ebu tutafakari kwa pamoja kama binadamu, kwani tukigomesha kuwafuata hawa viumbe na masharti yao haijalishi yupi tunamchukulia yupo sahihi na yupi hayupo sahihi, natukaamua kuishi maisha yetu kama binadamu pasipo matumaini yeyote kwao.

Tuamue kufuata tamaduni na njia zetu za kuishi kama binadamu tulio huru na atutawaliwi na kiumbe yeyote au nomino dhahania ndani na nje ya sayari yetu, mwahisi tutakufa papo hapo au huo moto utatuchoma tu hata kama hatuwaungi mkono wala kuwafuata wote Mungu na Shetani.
 
Dini ni maigizo ya wajanja yaliyoundwa kwa kusudio la kuharibu history ya dunia, kuharibu akili na kucontrol jamii za watu, pia kuleta mifarakano na utengano ktk jamii ili iwe rahisi kutawalika na hao waliotunga dini.

Mmiliki wa dini zote ni mmoja,nandye aliyeunda hata hiyo misahafu iitwayo biblia, Quran na kile cha wayahudi.

Hiz zote ni dini znazofuata mafundsho yenye misingi ya ibrahimu wa kusadikika kutokea middle East.

Kisayansi& history ya kwel inapinga uwepo wa wahusika wa hizo dini zote kuwa waliwai kuwepo dunian.

Pia facts zote za kisayansi zinapinga uwepo wa matukio ya uongo yaliopo ktk biblia, mfano Utumwa wa waisrael nchini misri(afrika) mpka sas hakuna ushahid wa mabaki wala nakala zinazoproof uwepo wa watumwa wakiisrael nchin misri kwa miaka 400, so how come tukio kubwa la muda mrefu lisiwe na shahid hata kidogo?

Pia sayans& history inapinga uwepo wa matukio ya bustan ya eden uko wanakodai ilikuwepo, Hakuna shahid zozote hata mabak hakuna.

Sayansi ya uumbaji inakataa mtu wa kwanza kuumbwa (adamu) awe wa races za watu weupe then baadae mtu mweus azaliwe kutoka jamii hiz pasipo muingiliano , tofaut na rangi nyeupe, na ndio ukwel uzao wa mtu mweus hauwez zaliwa kutoka kwa mtu mweupe kama dini zenu znavyowadanganya kuwa tulitoka kwa hamu ambaye ndye mtoto mweusi aliyezaliwa kutoka kwa baba mweupe Nuhu, huo ni uongo mkubwa hakuna muujiza wa hivi na hautowai tokea.

Shahid za uwepo wa huyo mumuitaye yesu Kristo/jesus, huyu nae ni kiumbe wa nadharia aliyeundwa na warumi miaka ya 325A.D at Constantinople meeting iliyojumuishwa na wahuni walioamua kuchukua history za pepo/jini/kiumbe wa kiroho aliyeabudiwa na jamii mbalimbali za kale kwa majina tofaut tofaut mfano ni huyo Krishna, azazel,zeus, na majina mengi sana.

kiumbe huyu inasadikika alizaliwa na mwanamke bikra kwa muingiliano wa pepo na mwanadamu ndpo kikaibuka kitoto chenye nusu ubinadamu na nusu ushetan ktk tarehe ya25.

Na ktk mkutano huo wa hawa wahuni ndpo , uliibuka mfumo mpya wa kuhesabu majira& wakati kwa kuunda kalenda ya kirumi ambayo ilijulkana kama Christ Era , yaani wakati wakristo, ambapo siku na miaka ilianza kuhesabika upya kuanzia kuundwa kwa kristo huyo aitwae yesu ama kwa majina ya kizamani ni Zeus(B.C &A.D).

B.c stand for age before christ introduction

Na mafundisho haya yaliingizwa rasmi ktk ukatoric na baadae katoric ilimeguka na kuunda madhehebu ambayo licha kupinga ukatoric na mafundsho yake lkn hayakuacha misingi mikuu ya ukatoric ambayo imebase ktk Miungu ya kale ambapo pia yumo huyo jesus Chris.

Baadae ukatoric ulpofeli kuenea dunia nzima hususan uarabun na Asia ndpo washenz wa uroma waliintroduce mafundisho yao na hadith zao kwa mtume wa dini kongwe ya uislam kwa kumuhadaa na ndipo likaibuka chimbuko la uislam ambao mafundisho yake baadhi yalibase kwa hawa warumi na ndilo lilikuwa tegemeo lao.

Target kuu ya hizi dini ilikuwa Ni Afrika maana Original copies ya stori zao za misahafu ilitoka ktk matukio na maisha ya mashujaa walioisha baran Afrika na walikuwa watu weusi.

Ujuwe kuwa afrika ilikuwa ikitamaniwa tangu karne na karne, na walishindwa kuitawala sabbu waafrika walkuwa wenye Nguvu walizotegemea toka kwa Viumbe wa kiroho(malaika), nguvu ambazo ziliwafanya wawashinde adui zao.

Viumbe hawa ndio waliwapa maarifa watu weusi ktk technologies za ujenzi e.g mapiramidi, sayansi ya afya za upasuaji na madawa, sayansi ya anga na nyota, sayansi ya umeme, haya mambo ndyo yaliioa nguvu afrika ya kale kuwa Falme tajiri na kubwa dunia nzima

Maadui wa afrika walpogundua hilo kupitia vibaraka wa kiafrika waliokuwa wakivujisha siri, ndipo hawa adui zetu walpotumia huo mwanya wakumuondoa mtu mweusi kutoka ktk asili yake na kumfanya atengane na Muumba wake kwa kukumbatia miungu migeni ambayo ndyo ilitoka ktk hizo dini ngeni ambazo hazkuwa na msaada wowote zaid ya kudanganya, kuharibu akili ya mwili, nafsi na roho ya mtu mweusi ili aache utu wake na kuwa mtu wa kidunia kama walivyo hao aliens yaani watu weupe wote ambao si wakazi halali wa hii dunia.

Mafundisho haya huwez yapata ktk hayo magenge yenu ya dini, kwakuwa dini hazitaki ukwel ujulkane.
1643298797487.jpg
 
View attachment 2101785

Nomaa
 
Muamini aliekuaminisha haya uliyoyaandika, Sisi tunaoamini katika haya tunayoyaamini tutaendelea kuamini hivi.
 
Umeongea kweli kbsa
 
1642169208456.jpg
 
Ukiwa mtu wa kinadharia kinadharia tu huwezi jua ukweli kuhusu mambo ya kiimani hata siku moja, sana sana utaishia kudanganywa na kujidanganya.
 
Ati umeseme Mungu na Shetani ni mke na mme waliotalikiana hivyo sisi watoto tuchukue hamsini zetu ugomvi hautuhusu? Au mi ndo sijaelewa
Hahahaaa! Hili swali limekaa kama ramli chonganishi vile, Anyway ni mfano tu chukulia mtu(Mungu) kamuumba mwenzie (Shetani) tiyari huyo ni mzazi halafu mtu (Mungu) huyo huyo kakuumba wewe(Binadamu) hivyo ni mzazi wako pia.

Halafu itokee mtu na kijana wake wanaugomvi mkubwa kiasi cha kaka huyo kufurumushwa nyumbani baada ya kupokea kichapo kwenye ugomvi aliousababisha mwenyewe, unafikiri hapa wewe kama kijana wa mzee na kaka wa huyu aliekosana na baba yake,
Je utamtenga nduguyo mazima anavyokuagiza mzazi? au utakuwa nusu kwa baba huku na nusu kule kwa kaka?
 
Ukiwa mtu wa kinadharia kinadharia tu huwezi jua ukweli kuhusu mambo ya kiimani hata siku moja, sana sana utaishia kudanganywa na kujidanganya.
Mwanzo wa mambo mengi maishani uanzia kwenye nadharia kama hatua ya kwanza na baada ya hapo uchunguzi au tafiti ufanywa kubaini uhalali wa nadharia husika.

Kama yalivyo mambo mengine hata imani pia uchunguzika na ukweli ubainika kupitia njia hiyo hiyo ya kuamini, historia ya imani husika na wahusika au jamii ya imani husika, urithi wa imani kwa njia za alama,sanaa, maandishi na oral traditions pia wakati mwingine twalazimika kutumia experiment za kisayansi yote haya ufanywa na mwisho utupa majibu yanayofanana au yenye kuwa na uelekeo wa ukweli au wakati mwingine tunapata ukweli wenyewe.
 
Dini ni maigizo ya wajanja yaliyoundwa kwa kusudio la kuharibu history ya dunia, kuharibu akili na kucontrol jamii za watu, pia kuleta mifarakano na utengano ktk jamii ili iwe rahisi kutawalika na hao waliotunga dini.

Mmiliki wa dini zote ni mmoja,nandye aliyeunda hata hiyo misahafu iitwayo biblia, Quran na kile cha wayahudi.

Hiz zote ni dini znazofuata mafundsho yenye misingi ya ibrahimu wa kusadikika kutokea middle East.

Kisayansi& history ya kwel inapinga uwepo wa wahusika wa hizo dini zote kuwa waliwai kuwepo dunian.

Pia facts zote za kisayansi zinapinga uwepo wa matukio ya uongo yaliopo ktk biblia, mfano Utumwa wa waisrael nchini misri(afrika) mpka sas hakuna ushahid wa mabaki wala nakala zinazoproof uwepo wa watumwa wakiisrael nchin misri kwa miaka 400, so how come tukio kubwa la muda mrefu lisiwe na shahid hata kidogo?

Pia sayans& history inapinga uwepo wa matukio ya bustan ya eden uko wanakodai ilikuwepo, Hakuna shahid zozote hata mabak hakuna.

Sayansi ya uumbaji inakataa mtu wa kwanza kuumbwa (adamu) awe wa races za watu weupe then baadae mtu mweus azaliwe kutoka jamii hiz pasipo muingiliano , tofaut na rangi nyeupe, na ndio ukwel uzao wa mtu mweus hauwez zaliwa kutoka kwa mtu mweupe kama dini zenu znavyowadanganya kuwa tulitoka kwa hamu ambaye ndye mtoto mweusi aliyezaliwa kutoka kwa baba mweupe Nuhu, huo ni uongo mkubwa hakuna muujiza wa hivi na hautowai tokea.

Shahid za uwepo wa huyo mumuitaye yesu Kristo/jesus, huyu nae ni kiumbe wa nadharia aliyeundwa na warumi miaka ya 325A.D at Constantinople meeting iliyojumuishwa na wahuni walioamua kuchukua history za pepo/jini/kiumbe wa kiroho aliyeabudiwa na jamii mbalimbali za kale kwa majina tofaut tofaut mfano ni huyo Krishna, azazel,zeus, na majina mengi sana.

kiumbe huyu inasadikika alizaliwa na mwanamke bikra kwa muingiliano wa pepo na mwanadamu ndpo kikaibuka kitoto chenye nusu ubinadamu na nusu ushetan ktk tarehe ya25.

Na ktk mkutano huo wa hawa wahuni ndpo , uliibuka mfumo mpya wa kuhesabu majira& wakati kwa kuunda kalenda ya kirumi ambayo ilijulkana kama Christ Era , yaani wakati wakristo, ambapo siku na miaka ilianza kuhesabika upya kuanzia kuundwa kwa kristo huyo aitwae yesu ama kwa majina ya kizamani ni Zeus(B.C &A.D).

B.c stand for age before christ introduction

Na mafundisho haya yaliingizwa rasmi ktk ukatoric na baadae katoric ilimeguka na kuunda madhehebu ambayo licha kupinga ukatoric na mafundsho yake lkn hayakuacha misingi mikuu ya ukatoric ambayo imebase ktk Miungu ya kale ambapo pia yumo huyo jesus Chris.

Baadae ukatoric ulpofeli kuenea dunia nzima hususan uarabun na Asia ndpo washenz wa uroma waliintroduce mafundisho yao na hadith zao kwa mtume wa dini kongwe ya uislam kwa kumuhadaa na ndipo likaibuka chimbuko la uislam ambao mafundisho yake baadhi yalibase kwa hawa warumi na ndilo lilikuwa tegemeo lao.

Target kuu ya hizi dini ilikuwa Ni Afrika maana Original copies ya stori zao za misahafu ilitoka ktk matukio na maisha ya mashujaa walioisha baran Afrika na walikuwa watu weusi.

Ujuwe kuwa afrika ilikuwa ikitamaniwa tangu karne na karne, na walishindwa kuitawala sabbu waafrika walkuwa wenye Nguvu walizotegemea toka kwa Viumbe wa kiroho(malaika), nguvu ambazo ziliwafanya wawashinde adui zao.

Viumbe hawa ndio waliwapa maarifa watu weusi ktk technologies za ujenzi e.g mapiramidi, sayansi ya afya za upasuaji na madawa, sayansi ya anga na nyota, sayansi ya umeme, haya mambo ndyo yaliioa nguvu afrika ya kale kuwa Falme tajiri na kubwa dunia nzima

Maadui wa afrika walpogundua hilo kupitia vibaraka wa kiafrika waliokuwa wakivujisha siri, ndipo hawa adui zetu walpotumia huo mwanya wakumuondoa mtu mweusi kutoka ktk asili yake na kumfanya atengane na Muumba wake kwa kukumbatia miungu migeni ambayo ndyo ilitoka ktk hizo dini ngeni ambazo hazkuwa na msaada wowote zaid ya kudanganya, kuharibu akili ya mwili, nafsi na roho ya mtu mweusi ili aache utu wake na kuwa mtu wa kidunia kama walivyo hao aliens yaani watu weupe wote ambao si wakazi halali wa hii dunia.

Mafundisho haya huwez yapata ktk hayo magenge yenu ya dini, kwakuwa dini hazitaki ukwel ujulkane.
View attachment 2101785

Ushindi victory; Nazipa uzito hoja zako katika kuipinga dini kwa kuwa navutiwa na ushahidi unaouwasilisha kutetea unachokiamini, siwezi kukupinga maana sina ushahidi wa kutosha kufanya hivyo, unaonekana kuwa umefanya utafiti na ukajiridhisha kuwa huo ndiyo ukweli wa mambo.

Hata hivyo jungu kuu halikosi ukoko nina machache ya kukuuliza;

Je, uoni kuwa hii pia ni kampeni ya kuanzisha dini nyingine yenye kuegemea race ya mwafrika?

Pale unapoamasisha waafrika warudie asili yao na mungu wao, Je, wewe binafsi kupitia uelewa wako au various readings ulizofanya umeshamjua huyo mungu mwenyewe tutakayepaswa kumwabudu?

Je uthibitisho wa historia yetu kama vile uhifadhi wa maandishi, tamaduni,sanaa,mila,vifaa, maeneo yetu ya ibada na taratibu zake mpaka sasa vi mikononi mwa nani?

Na kama ilitokea vithibitisho vya kihistoria vilipotea, vilifichwa au vilitelekezwa na jamii ikavipuuzia kwa kipindi kirefu na havipo tena, upi ni ushauri wako juu ya kipi kifanyike tuondokane na utumwa wa kiimani?
 
Vithibitisho vipo vingi sana kuanzia maandiko ya kale yaliyopo mapangon, nakala za kale, masalia ya shahidi mbalimbali za viumbe, pia hata maandiko ya hizi dini zipo shahid ambazo znafichuka pale uongo unapovumbuka.

Mimi siamasishi kutetea race ya watu weusi, Bali ndiyo ukweli halisi ambao ndivyo ulitakiwa kuwa.

Ktk History ya dunia Jambo baya na la kutisha ni hili alilofanyiwa mtu mweusi,kuwekwa utumwani for more than 400years, pia kufutiwa tamaduni zake ,kufutiwa history yake, kuibiwa urithi wake na rasilimali zake, haya mambo hutoona wakifanyiwa jamii nyingne yeyote hapa dunian, zaidi ya mtu mweus.

Kwahiyo tunavyoandika humu kwa uchungu huwa tunamaanisha ule ukweli alioporwa mtu mweusi lazima uje.

Na kweli utakuja maana haya niyaandikayo Nina ushahidi100%.
huu ndio Muda muafaka wa kweli halisi kuenea afrika nzima, na kwel hii ilishatabiriwa na manabii weusi hapo zamani kabla ya ujio wa hawa wapinga kristo.

Tupo ktk nyakat ambazo kuna ugeni mkubwa sana afrika,lkn kwakuwa tupo bize na mambo ya kipumbavu, hatuwez kuona yaendeleayo.

Yule aliyesubiliwa na babu zetu na kutabiliwa tyr alishafika siku nying na ndye hutupa wengine nguvu ya kueneza kweli hii ili unabii utimie wa Afrika kurudisha UKUU wake.
 
Inavyoelekea Mkuu una mengi ya kutueleza kuhusu imani yetu halisi ila hujafunguka mpaka mwisho; mfano ni hapo uliposema yupo masihi mwafrika tuliyepaswa kumtambua na tiyari yupo nasi ila hatumtambui maana tumezubaishwa na mambo yasiyo na tija ya dunia hii, ningekuomba utuelezee kidogo kumuhusu huyu masihi mwafrika kwa faida ya jukwaa na waafrika wenzio.

Umeelezea kuwa mwafrika alitawaliwa zaidi ya miaka 400 nakuwa race pekee iliyofanyiwa ukatili mkubwa katika historia ya dunia kwa kuibiwa almost kila kitu.

Kulingana na uelewa kidogo nilionao juu ya somo la historia, inavyosemekana si afrika tu ilitawaliwa bali ukoloni ulienea pote duniani na kilichokuwa kikiwasaidia nchi tawaliwa wasionewe ni kwa wananchi wake kuwa na resistance kubwa, uzalendo na kujitambua na kwa asilimia kubwa hizo ni sifa za kipekee kwa wananchi wenye walahu elimu na mwanga wa maendeleo fulani.

Hivyo uoni kwamba afrika iliachwa nyuma kimaendeleo (misri pekee isitumike kama reference ya bara zima) kabla hata ya ukoloni haikuwa jamii iliyoendelea kiivyo kama race zingine duniani ndiyo maana ilinyanyasika mno kipindi cha ukoloni?

Mfano mdogo; race inayochukuliwa duniani kuwa duni ikitoka yetu ya muhindi na mwarabu tiyari ilikuwa inaweza kutrade na sisi toka barani kwao kwa majahazi katika karne ya 4 mpaka 200BC, sisi tukiwa tumezubaa na mpaka ukoloni ulivyokuja kuisha mkoloni alikuwa akimpa hadhi muhindi tofauti na mwafrika kwa sababu muhindi tiyari kimaendeleo na biashara alikuwa zaidi yetu weusi katika nchi yetu.

Kuthibitisha hili fatilia historia ya nyumba zote za zamani za maghorofa posta ya Dar na huko Kampala nani alikuwa mmiliki wake mpaka wakati tunapata uhuru na mbinu iliyotumika kuzirejesha mikononi mwetu nikupitia kuzitaifisha.

Historia inajieleza kuwa stronger walikonka weaker na ndiyo mwanzo wa ukoloni yaani uingereza ya wakati huo kulingana na power ya kiuchumi, nguvu ya majeshi na akili walikuwa na uwezo wa kutawala popote pale pazuri duniani halafu yale makapi ndo sasa wanachukua akina ujerumani, ubelgiji n.k

Hii inatuonesha kuwa hali ya bara letu kuwa dhaifu tokea kipindi hicho hata kabla ya ukoloni tulikuwa behind hawa jamaa kimaendeleo. Labda kama historia inadanganya na haisemi ukweli wa mambo basi ningeomba ututanabaishe juu ya hili.

Mwisho ningependa kujua mna mpango au mkakati gani wa kufanya reforms (marekebisho) katika imani zetu na maendeleo ya bara la afrika kiujumla endapo waafrika watakubali kusikiliza nakufuata mwelekeo huu wa kiimani, ambao utaonesha utofauti wa kufuata asili ya afrika na kuachana na dini ya wazungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom