Je, ingekuaje kama mitandao ya kijamii ingekuwepo toka enzi za kale?

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,582
Habari wana JF,

Hilo swala nimekutana nalo pahala, nikaamua kuwaletea mtoe maoni yenu. Na nimejiuliza sana hilo swali, ila majibu yanayokuja ni aibu.

Umeshajiuliza yakua Social Media (Facebook, Instagram, Tweeter) zingekuwepo toka zama za kale??? Na uhakika ishu yoyote ingekua ikitokea watu wa zamani wangekua fasta wanapost matukio.

Hebu tafakari;

Wafuasi wa Yesu wana tweet location zao na mambo wanayofanya muda huo.



Au ADOLF HITLER anapost caption Insta; "Nataka kuichukua dunia kwa speed ya 4G, atakae ingia anga zangu ninae ".

Rais wa Soviet STALLIN ana comment kwa chini "LMAO" ".

Rais Wa Italia MUSSOLINI nae hapitwi ana comment "upo next level bro loOl ".




Je Social Media zingekuwepo toka zama hizo, tweet gani unahisi zingekuwepo????
 
Wao walikuwa na wachoraji bora kabisa kwa ajili hizo taarifa..baada ya kizazi hiki kupita yatakuja makubwa zaidi kuliko haya..nao watahoji kama unavyohoji leo.
Walikua na wachoraji wazuri, hatupingi wala hatubishi, ila vifurushi vya bando walikua hawavijui. Kuanzia vifurushi vya chuo mpaka kukopa MB tigo.
 
Back
Top Bottom