Je! huyu ni team Lowassa?

Je! huyu ni team Lowassa?

chris01

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
29
Reaction score
16

Ninaamini Siasa si Uadui na kuwa na urafiki na Mtu si lazima kukubaliana nae kila kitu asemacho.
Naomba wanajanvi mniambie wanasiasa hawa wakongwe ni kweli lazima wawe team ili nchi iendelee kijamii, kiuchumi na kisiasa?
 
hata Mbowe ameshamuunga mkono, tangu Mkombozi EL aanze kukaza mwendo wa Magogoni basi anaomba ubunge tu, anajua ikulu ataenda japo kunywa juice.Bilionea la Chadema Mzee Ndesamburo yeye pia kummiminia sifa Lowassa.
 
Huyo ndiyo kiboko ya lowasa arusha , muulize Batrida buriani anaelewa , Lema ni noma sana ! Amemstaafisha ubunge mzee wa watu bila kutegemea , urais hata fomu hatopewa na ubunge ndio hivyo tena !
 
Hiyo picha inaonyesha watu wawili tofauti sana ! Mmoja ni MLA NCHI , mwingine ni MTETEZI WA NCHI ! Asante sana mkuu kwa picha hii
 
Sijawahi kuwasikia wapinzani wakimtukana Lowassa hata siku moja! Ndiyo pale mtu unaona kabisa na kabaini ukomavu wa kina Mbowe, Lipumba, Mbatia, Slaa na vijana wao kina Mnyika na wengine.

Nina ndoto kuhusu hawa wapinzani hasa ndugu Mnyika iko siku moja kwa msaada wa Mungu aliye hai Mnyika atapigiwa Mizinga 21 na moja katika ardhi hii ya Tanzania.

Hili lipo na limesharatibiwa katika ulimwengu Wa roho.
 
Huyo ndiyo kiboko ya lowasa arusha , muulize Batrida buriani anaelewa , Lema ni noma sana ! Amemstaafisha ubunge mzee wa watu bila kutegemea , urais hata fomu hatopewa na ubunge ndio hivyo tena !

Erythrocyte wewe ni Kati ya watu humu jamii forum wenye hoja zilizo chini ya usawa wa Bahari.
 
Haihitaji uwe genius kujua kua EL ni chaguo la Chagadema...,


Napitaga tu....
 
Back
Top Bottom