Je,huyu Mwanamke unamchukuliaje?

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
3,504
Reaction score
2,256
Habari wana MMU,

Leo naomba niwashilikishe kwenye kisa kimoja...

Juzi usiku mida ya saa sita usiku nipo na "mama" tunatoka sehemu nikakutana na rafiki yangu wa mda mrefu,nikamuuliza anaenda wapi muda huo ni usiku sana alafu alikuwa kalewa kiasi chake akaniambia kaitwa na mdogo wake yupo baa fulani nikamuuliza wife yupo wapi?hapo ndo nikaona mtu sura imebadilika na kupoteza ile furaha ya kuonana na sisi lakini hakusema chochote zaidi ya "aaah nimemuacha huko nyumbani"

Lakini mimi niligundua kwamba jamaa amekimbia nyumbani kutokana na matatizo kati yake yeye na mkewe kwasababu si mara ya kwanza kutokea hivyo

Kisa:
Huyu jamaa kaishi na huyu mke miaka mingi kidogo mpaka wanamtoto mkubwa tu anasoma,mwanamke alikuwa mwalimu mwenye cheti tu,jamaa akamsomesha diploma kipindi hicho yeye ni form six tu!,na kipindi hicho maisha yaliwawia vigumu mpaka wakati mwingine mwanamke anatishia kuondoka inabidi jamaa aangaike kwa washkaji ndo panatulia kidogo,mwanamke kamaliza dip akaanza bachelor yake jamaa nae akaamua arudi shule kwasabb mwanamke sasa anauwezo wa kujilipia kiasi cha ada

Mwanamke kasoma kamaliza,sasa balaa likaanza mwanamke akaanza dharau,inafikia kipindi anamwambia jamaa kwamba "haunitishi kwanza mshahara ninaolipwa ni mkubwa kukuzidi so hata ukiniacha nitaishi tu" na hiyo sio mara moja kumtishia hvyo kuna siku jamaa alimpiga sana na ndio siku ya mwisho kumpiga kwasababu tuliongea sana na akaniahidi atanyanyua mkono wake tena kumpiga(mi sio muumini sana wa kupiga wanawake) kwahiyo huwa wakigombana ndio hvyo jamaa inabidi aondoke zake na kupotelea anapopajua mpaka kesho yake kama ilivyotokea usiku wa juzi kwasababu hakurudi usiku ule...

Kilichosababisha mwanamke kuanza dharau hizo ni kuhusu mtoto mwanamke anataka mtoto apelekwe shule ya ada sh milioni moja na laki nne wakati hapo wote wanasoma na maisha ndo dizain hiyo jamaa ajilipie ada yeye,nusu yake(mwanamke) na kuna dogo alikuwa anamsomesha na pia milion na laki nne ya mtoto!!!bado hajaudumia familia yake na yao..jamaa kamshauri kuna shule ipo nzuri tu ada laki nane mwanamke hataki!

Lakini uzuri jamaa kashamaliza digrii yake na kuna interview kaitwa kama atapata hyo kazi si haba mshahara figure zitaongezeka si kidogo...

Angalizo:jamani wanawake tuwe na uhalisia na kuangalia tumetoka wapi na vipato vilivyopo na majukumu

Mimi nimeona nililete hapa kwenu labda kuna kitu tutajifunza wana MMU...
 
Wanawake wengi wao wana akili ya kuku. Husahau kwa muda mfupi sana.
 
Kwanza kabisa kitendo cha kumzarau mume wake kwa ajili ya mshahara siyo tabia nzuri maisha ni kupanda na kushuka ina mana jamaa nae mambo yakiwa powa anamjenga picha gani
 
Kwe munkari umenena kabisa huyo ni mwanamke na sio mke!
 
Wanawake wengi wengi ndio zao hizo, akishakuzidi kisomo na mshahara tu basi nyodo na dharau zinazidi nyumbani.
 
ndio maana nasemaga sana hakuna kosa kubwa kama kutoa hela yako uliyoipata kwa jasho lako ukamsomeshe mwanamke unayetegemea kuishi nae...nahisi hili tendo limelaaniwa maana always outcome ni hizi!
 
Tabia ya wajukuu wadelila wakisha kuwa na MSHAHARA wanaingiwa napepo la dharau .dawa nikugawa nakozz tu liwalo na liwe.
 
Mwanamke bora umtese na kumnyanyasa
Ukimueka ndani kufanya kaz/ kusoma mwiko!

Maana hawa viumbe wakipata kitu kidogo basi dharau zinaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…