Je, huyu ananipenda?

duuuuh.. mkuu ww ni kama mm vile... ngoja nisome comments za wadau
 
Huyo kuna kitu anakitafuta toka kwako akishakipata tu naye anapotea mazima humwon hata akija kukupa kampan tena
 
sasa ndu
sasa mkuu wewe umetoa post unahitaji ushauri then unalala mitini huji kujibu maswali ambayo watu wanataka waanzie hapo kujibu unakuwa kimya mkuu
 
ww mtoa mada unaonekana mlokole miezi 8 yote hiyo si umbake tu, ebu jaribu kukaaa nae umuulize nn shida usikute alitendwa mwanzo kwenye mahusiano yake au labda anakuchukulia kaka tu.
 
ungekua n ww apo ungefanyaje?
ki ukwel ukisikia i love u inajibiwa na asante ki ukwel jiongeze mtafute mwenye lile neno la too akusaidie maana inaonekana hana hilo neno kwenye misamiati yake.
 
plan b, ushatumia imegoma? plan c je? akili yako bado haijakuwa
 
ki ukwel ukisikia i love u inajibiwa na asante ki ukwel jiongeze mtafute mwenye lile neno la too akusaidie maana inaonekana hana hilo neno kwenye misamiati yake.
ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…