MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Habari zenu wote wapendwa...........................
Rafiki wa dada yangu amekuwa akilalamika hivi majuzi kuwa mume wake,
amekosa uungwana/upendo na uvumilivu. Huyu dada pamoja na kuwa anaishi mbali na mume wake kutokana na majukumu ya kazi, lakini amekuwa akiisaidia sana familia kwa kugharamia matumizi yote ya nyumbani kuanzia chakula, matibabu, usafiri na mambo yote muhimu ya kimaisha.
Sasa amekuja kugundua kuwa mume wake anatembea na mwanamke mwingine,na isitoshe huwa anamleta mpaka hapo nyumbani. Mara baada ya huyu dada kugundua hayo aliona ni bora asitishe kupeleka fedha nyumbani, ukichanganya na hasira kidogo aliyokuwa nayo basi ndo hivyo tena. Pamoja na haya yote bado mumewe amekuwa ni mtu wa kumletea dharau sana na maneno yasokuwa na heshma. Lakini kwa jinsi huyu bwana asivyokuwa na haya, anazidi tena kumpigia magoti mkewe ili atume pesa za matumizi hapo nyumbani!
wanajamii,Je huu ni uungwana kweli?
mume anaamini kuwa bado ni siri yake,
na wala mke wake hajui hilo!!!!!!!
Hapo chacha.
Off topic: Hujarudi nyumbani mpaka sasa mbona uko via mobile??? Ujue mama anakutafuta
Huyu jamaa sijui vipi
Sijui tufanyaje hapo maana tukitoa wanaenda kutumia na wengine ilobaki tubane tu au?
Nitahakikisha mume kama ana kipato tunakitumia effectively, sitatoa mwanya wa mtu mwingine kula kilaini kihivi, pole inaonekana unanyonywa, hata mie najitoaga tu kwa BFWewe utakubali wanao wale kisamvu daily na ela unayo? Maana kumbuka kuna watoto si mume peke yake. Utakubali wanao wasome saint Kanumba na pesa ipo simply because wewe ni mwanamke ela yako ni ya kubana.
As long as you are together pesa yote ni ya kwenu. Sidhani mpaka kufikia kutokuaminiana kiasi hicho kuna haja ya watu kuendelea kuishi pamoja while looking at each other with suspicious eyes and mind.
<br />huwezi ukajua unaweza ukakuta rafiki wa dada yako huko aliko naye anatembea na mtu wake au boss.