Je, huu ndio mkakati mpya kupambana na asiyekuwepo?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Ilianza kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino-DODOMA. Zikatumika mbinu na hila kubwa kuzuia lile jina lisitajwe wala kuhusishwa na ujenzi wa Ikulu ile.

Ikaja kwenye ule wa Bwawa la Nyerere ambako wananchi waliwaaibisha wenye nia Ovu.kilichotokea wakati muwakilishi kutoka Familia alipoenda kupokea ile tuzo!

Zomea na Ushangiliaji ule uliwachanganya akili watu-wala!

Sasa imeendelea kwa chini chini hadi majuzi hapa tumeanza kuona ghafla Sidief naye akiibuliwa aje ayaseme yale waoyaona wao yatawanufaisha.

Sababu wanajua kanda ya ziwa ina maamuzi yake.Na huenda yasiwe rafiki kwa team "Pwani"

Sasa wamegekia msikitini na huyu kiongozi wa kidini aliye mduni wa fikra ila mdini wa Imani.

Nawauliza CCM....hii itawasaidiaje kuelekea 2025?
Je!
Mnagombana na nani?
Kwani Magufuli atakuwepo kuchukua fomu?
Wenye macho tunaona na wenye masikio wanasikia!
 
Dola mkituletea wauza Bandari ya DP world nitawalaani kabisa aiseh!!wauza lolliondo waamisha.wamasai Mimi sitowaelewa kabisa!!!
Kwa taarifa yako.....
DP-WORLD haijaishia Dar es Salaam pekee.
Ni kwamba hivi tunavyoandika humu.Tayari bandari za Tanga Na Mtwara wamepewa barua kutoka TPA makao makuu.
Kwamba wajiandae na ujio wa DP-WORLD huko.
 
Back
Top Bottom