Pole ila tatizo linatibika nikipata muda ntakuandikia hapa dawa umtengenezee hapo nyumbani tu.Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu anatatizo la HOMA YA INI( Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu...
Tutanufaika wotePole ila tatizo linatibika nikipata muda ntakuandikia hapa dawa umtengenezee hapo nyumbani tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Andika sasa hivi mkuu maana hali ni mbayaPole ila tatizo linatibika nikipata muda ntakuandikia hapa dawa umtengenezee hapo nyumbani tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Dawa yake ni kama ifuatavyo hapaAndika sasa hivi mkuu maana hali ni mbaya
Je, kuna masharti yoyote kipindi unatumia hizi dawa mkuu.Dawa yake ni kama ifuatavyo hapa
1:unga wa majani ya phylanthus(maarufu kama mzalia nyuma ) vijiko 12 v....
Dawa za mitishamba hazina masharti mengi kama dawa za Kemikali.Je kuna masharti yoyote kipindi unatumia hizi dawa mkuu.
Hasa kwenye upande wa vyakula gani vinatakiwa kuliwa na vyakula gani havitakiwi kuliwa mkuu.
Kikubwa ni kunywa asubuh kabla hjala ktu unakaa nusu saa ndo unakula.Je kuna masharti yoyote kipindi unatumia hizi dawa mkuu.
Hasa kwenye upande wa vyakula gani vinatakiwa kuliwa na vyakula gani havitakiwi kuliwa mkuu.
Kuhusu vyakula wakati unatumia dawa sansana ni kuacha kula vyakula na kunywa vinavyozalishwa viwandani kama soda hzoJe kuna masharti yoyote kipindi unatumia hizi dawa mkuu.
Hasa kwenye upande wa vyakula gani vinatakiwa kuliwa na vyakula gani havitakiwi kuliwa mkuu.
Huu mmea wa mzalia nyuma nakutana nao sana kwa watu tofauti tofauti linapozungumziwa swala la homa ya ini.Kikubwa ni kunywa asubuh kabla hjala ktu unakaa nusu saa ndo unakula
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Aksante sana mkuuKuhusu vyakula wakati unatumia dawa sansana ni kuacha kula vyakula na kunywa vinavyozalishwa viwandani kama soda hzo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ndio ni kweli unamaajabu yake mengi tu hilo likiwa moja wapo mkuuHuu mmea wa mzalia nyuma nakutana nao sana kwa watu tofauti tofauti linapozungumziwa swala la homa ya ini.
Napata picha juu ya huu mti wa mzalia nyuma.
Changamoto ni kwenye kuupata tu.Ndio ni kweli unamaajabu yake mengi tu hilo likiwa moja wapo mkuu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ipo mingi sana mkuu hasa kipindi hiki cha mvua inaota sana kanda ya ziwa kama mwanza na Mara inapatikana ,lkn pia utajarbu kwenye maduka ya dawa za asili unaweza upata unga wake pia kuna mzee pale Mwanza mjni nitamuuliza kama huo unga anao ntakujuza utaupata vipi.Changamoto ni kwenye kuupata tu.
Ngoja tumbane kutafuta hizo package mkuu
Vijijini hukosi hiyo mimeaChangamoto ni kwenye kuupata tu.
Ngoja tumbane kutafuta hizo package mkuu
Kuna MTU aliniambia hivyo vijani vyake ni dawa ya presha.Ipo mingi sana mkuu hasa kipindi hiki cha mvua inaota sana kanda ya ziwa kama mwanza na Mara inapatikana ,lkn pia utaharbu kwenye maduka ya dawa za asili unaweza upata unga wake pia kuna mzee pale Mwanza mjni nitamuuliza kama huo unga anao ntakujuza utaupata vip
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Utakuwa umenisaidia sana mkuu.Ipo mingi sana mkuu hasa kipindi hiki cha mvua inaota sana kanda ya ziwa kama mwanza na Mara inapatikana ,lkn pia utajarbu kwenye maduka ya dawa za asili unaweza upata unga wake pia kuna mzee pale Mwanza mjni nitamuuliza kama huo unga anao ntakujuza utaupata vip
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kuipata ikiwa kamili ni ngumu sana ila kwenye maduka ya dawa za asili hivyo vitu unapata unaendabtu kuandaa home kwako kwa usafi na umakini zaid hvyo ni bora ukaandaa mwenywe tu.Utakuwa umenisaidia sana mkuu.
Kwani hakuna mchanganyo wa hiyo dawa ikiwa kamili mkuu?