Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Jan 28, 2012 #1 Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa sekondari kwa muda wa miaka 30, baadae akapata green kadi kwenda marekani. Sasa amerudi eti adai amefuata mafao yake ya ualimu ambayo ni kama milioni 100. Hivi ni kweli waalimu wakistaafu hulipwa hela kama hizo?
Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa sekondari kwa muda wa miaka 30, baadae akapata green kadi kwenda marekani. Sasa amerudi eti adai amefuata mafao yake ya ualimu ambayo ni kama milioni 100. Hivi ni kweli waalimu wakistaafu hulipwa hela kama hizo?