Je hii tabia ya wanasiasa kutumia jina la Mwalimu Nyerere kwenye maslahi yako binafsi itaisha lini?

Je hii tabia ya wanasiasa kutumia jina la Mwalimu Nyerere kwenye maslahi yako binafsi itaisha lini?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
11,479
Reaction score
12,092
Kumekuepo na tabia flani ya wanasiasa kutumia jina la Mwalimu Nyerere kwenye maslahi yao binafsi. Hii tabia ya kukemea kila mtu anajua falsafa za Nyerere tushaziweka pembeni tuache mzee Nyerere apumzike.
 
Back
Top Bottom