Je hii ni sahihi''??

Kumbe mimi nawewe hatuwezi kua pamoja eeh. Ngoja niachane na hiyo ndoto....

jamani nilikuwa nawakatisha tamaa tu akina uvugizi na mzizi mkavu wasije wakakutokea manake naogopa kukupoteza.mimi na wewe tena!!!
 
Hakuna tatizo banaa mbona watu wamekutana mitandaoni na wakafunga pingu za maisha na wanaishi kwa raha mustarehe!? na Hili si Kwa Tanzania tu bali nchi nyingi duniani.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…