Umesema anatoka wapi?
mi namsaidia kujib kama nilivyomuelewa,mke wake anatoka mkoani kilimanjaro.
Mh...haya
mbona umeguna tena mkuu,c ulitaka kwanza ujue anatoka wap,ushajua,changia mada mkuu,mpe mawazo jamaa.
kaka kuna mambo mengi ila kwa leo naongelea hilo tu
tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu ana gari yake ya kwendea kazini
nimekaa kimya sijaongea kitu na mkataba tayari umeandikwa na malipo yote yameshafanyika
Hapa kama sielewi vile,
Yaani mwanaume mwenye korodani mbili, una mke na watoto wawili.
Badala ya kununua kiwanja unakimbilia kununua gari/magari.
Mwisho wa siku unakuja mbele yetu kulalama kuwa mkeo kaandika kiwanja kwa jina lake.
In short mkeo (ingawaje kakosa busara) kakuona huwezi kuchanganya akili yako vizuri.