Binti mmoja anafukuzwa na mama mkwe wake heti hana sifa za kuishi na mtoto wake wakati huyo binti ana mtoto mchanga, na amejifungua kwa opration(kwa kisu) mm nikiwa kama jirani yake roho inaniuma sn sijui ninyi wana jf tutamsaidiaje huyu binti.ili hapate haki zake za msingi.