Je hii ni demotion au promotion?

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,024
Wataalam wa medani za ujasusi na ulinzi wa viongozi njooni mtuweke sawa, kutoka kumlinda namba 1 moja mpaka kwenda kwa Mzee wa Mjengoni, je hii ni demotion au promotion? Au ni mgawanyo tu wa kazi? Tunasaubiri majibu wakuu...
 

Attachments

  • 20190509_190038.jpeg
    64.8 KB · Views: 29
Kuna vitu vingine hauwezi kuvielewa kwa sababu ndivyo vinavyotakiwa kutokueleweka na wasiohusika (Sio lazima kujua/kuelewa kila kitu).
Hao jamaa wana wigo mpana sana kwenye kutekeleza majukumu na wajibu wao, kila kitu kinaenda kwa makusudi.
 
Wataalam wa medani za ujasusi na ulinzi wa viongozi njooni mtuweke sawa, kutoka kumlinda namba 1 moja mpaka kwenda kwa Mzee wa Mjengoni, je hii ni demotion au promotion? Au ni mgawanyo tu wa kazi? Tunasaubiri majibu wakuu...
View attachment 1092792
Hiyo ni special task for special reason. Sio Demotion wala promotion but recategorization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…