Je hii kitu inawezekana?

Dogo hapa usituchanganye kifupi ni kwamba umedhamiria kubaka hivyo ni vyema unajua pia athari za ubakaji
 
Jela itakuhusu soon🏃.
 
nimepitia baadh ya comments nimecheka xana labda nijue una umri gan kwanz ili tufany hesabu ya miaka utakayotoka nayo jela
 
Nahitaji jibu langu, ungekuwa wewe ni huyo mwanamke kwenye mazingira hayo ungechakatwa?
Kisheria hapo unajiingiza kwenye jinai ya ubakaji, na hukumu yake endapo ushahidi ukithibitika wa kukutia hatiani ni kifungo hadi miaka 30 jela.
Kua makini chalii yangu nyege zisije kukupeleka kwenye majuto yasiyokwisha.
 
Nipe jibu hakuna mdau atakupa ushauri wa kichwakichwa bila kujua uwezo wako wa akili.

VAA VIATU WEWE NI HUYO DADA KWA MAZINGIRA HAYO UNGEKUBALI KUNYANDULIWA?

Jibu swali hili.
Dah mkuu nimecheka sana kwa jinsi ulivyo mkazia mwana ,,,hHaaaaa hakuna mdau inachotakiwa ajibu swal
 
Mrejesho

Nimesoma maoni ya wadau humu nikaamua liwalo na liwe hata akinikataa mimi sio wa kwanza kupigwa za uso 😅. Leo asubuhi nimetext kabla hajaenda kanisani tukutane mahala akasema poa.
Alivofika nikaenda moja kwa moja kwenye point. Majibu na masharti yalikuwa hivi

1. Amenikubali ila tufanye kwa siri maana nyumbani kwao na kanisani wanajua ametulia na hana mambo ya wanaume.
2. Tukapime afya hospitali, hili nilkubali 100% na majibu yalikuwa kama tulivyotarajia
3. Asiskie skendo zozote kama natoka na mabinti wengine

Juma tano na j pili ndo tutakuwa tunakamilisha agano letu kwa mujibu wake maana ni siku za soko, siku nyingine anabanwa sana na kazi

Daah sema wakuu kutongoza ni zaidi hata ya pepa la NECTA sio kwa nilivyosweti vile leo, bahati nzuri alikuwa hanitazami machoni
 
Kuna ujinga wa kupitia ila sio UBAKAJI.
Huo ni ubakaji unaotaka kufanya, unakuja kuomba ushauri.

Vijana mnafeli wapi? Mtongoze au domo zege? Au nenda kasome uzi wa kula kimasihara utapata ideas ila sio hiyo.
Nimeghairisha mkuu maana kule jela ni pa kuskia tu redioni usiombe ikutokee
 
So unataka kumbaka?
 
Inawezekana kwa mujibu wa uzi pendwa unaweza jisomea hapa Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…