Je hii kauli mnaikumbuka?

Lekakui

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,451
Reaction score
589
KIdumu chama cha mapinduzi mnaitikia KIDUMU
zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM mnaitikai Zidumu
then nod hotuba inaanza....................
Naomba kuwasilisha
 
sasa hivi haya mambo ya kudumisha fikra yamebaki chadema. Mtei akisema hakuna kupinga ukijifanya mbishi wanaku-ZittoKitilaMwigamba
 
Mkuu vp umekulia ccm au nafikiri kama hakuna aliewahi kuwa kiongozi katikafamilia cjiu sela ya ccm ni uozo mbele ya chadema na hiyo bado analog tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…