Je hapa kuna ka ukweli wa call summay

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kijana kwa kijana = 00:01:00
Kijana kwa Mama = 00:02:30
Kijana kwa Baba = 00:02:00
Msichana kwa Masichana = 00:04:44
Kijana kwa Msichana = 00:25:59 (Na hasa battery ikiwa low, wanakata simu)
Mischana kwa Mvulana = 00:00:05 ( Tafadhali nipigie)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…