Je, Hali hii itamuathiri mtoto?

Je, Hali hii itamuathiri mtoto?

Cutesy

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Nina mtoto kana miaka miwili, niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya.

Je, ni sahihi kuanza mahusiano au ndio kuwa na wanaume tofauti wakati mtoto ananyonya inaweza kumuathiri mtoto.

Wajuzi wa hivi vitu naomba ushauri please
 
Nina kababy kana miaka miwili,niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya,je ni sahihi kuanza mahusiano au ndio kuwa na wanaume tofauti wakati mtoto ananyonya inaweza kumuathiri mtoto,wajuzi wa hivi vitu naomba ushauri please

Nivyema ukasubiri hadi mtoto amalize kunyonya kwanza.. Then tafuta dhen tafuta partner aliepora kuliko wa mwanzo coz si vyema kua mama ambae anawatoto watano baba tofauti.. Ni mtazamo tu mdau.
 
Mtoto bado mdogo mnyonyeshe mpaka five years kawe ka jiniaz
 
Subiri mtoto amalize kunyonya

ingawa nasikiaga...ukiwa na mimba au unanyonyesha hormones zinaleta genye sana
sijui ikoje hiyo...
 
Nina kababy kana miaka miwili,niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya,je ni sahihi kuanza mahusiano au ndio kuwa na wanaume tofauti wakati mtoto ananyonya inaweza kumuathiri mtoto,wajuzi wa hivi vitu naomba ushauri please
Unampango wa kuwa nao wangapi?
 
Asante kwa ushauri Delter,japo hapo chini sijakuelewa naisi ni typing error
 
Ivenosa mitano mingi sana,anaweza kuwa mzembe au mama yake kukubwa na magonjwa ya kukasirika ovyo na kuwa na hasira kupita kiasi..
 
Asante kaka boss nitamsubirI amalize kunyonya,sijaexprience hiyo bado,labda kwakuwa namnyonyesha mda mfupi mara nyingi nakuwa kazini.
 
Usipoteze bahat kama umempata huwez jua mungu kakupangia yupi hata ungekuwa na mimba ya miez 9 mapenz hayazuilik
 
Wa nguvu bdo sijapata,maana nilikuwa sina uwakika kama naweza kujiingiza katika mahusiano mtoto akiwa bado ananyonya
 
Back
Top Bottom