Najaribu kuota, nionavyo siku takribani 110 za JPM ndani ya Ikulu; ametumbua vipele tu, majipu hata kuyapapasa hajaweza. Naona kama vile vidole na mikono yake inapitishwa mbali na majipu yalipo.
Majipu halisi, tena yameisha iva ni kama vile haya yafuatayo: Tegeta Escrow Account; EPA; Deep Green,, Melemeta, Nyumba za Serikali; Mikataba ya Madini, Gesi na mafuta, kashifa ya mapanki, NBC nk
Suala la makontena, mafuta hivo ni vipele.
Naota kwamba hata vipele hivyo anavitumbua tu, wala HAVIKAMUI.
Wahusika wapelekwe mbele za vyombo vya sheria. Sio wapewe siku na kuwaachia. Watu hao ni waharifu. Wamevunja sheria za nchi.
Pasua vipele,kisha vikamue.