Hao g55 (siyo G55) waliahidiwa kupewa ubunge na ccm kupitia yale maridhiano feki ya Mbowe.
Mbowe akakabidhiwa fuko la hela na Abdul ili akubaliane na mpango huo. Sasa Mbowe ana shinikizo kubwa sana kutoka kwa mama Abdul na Abdul, anaambiwa afanye juu chini kampeni ya no reforms no election isifanikiwe.
Ndiyo maana akina John Mrema wanajitokeza mbele na kuanza kuonges ushubwada.