Je form six leaver anasoma diploma muda gani?

MEKADDISHKEM

Senior Member
Sep 15, 2016
148
142
Wakubwa Shikamoo, wadogo habari za saa hizi
Jamani naombeni ufafanuzi juu ya technician certificate NTA level 5 na diploma

mtu ukachaguliwa NTA level 5(miaka2) ukasoma na kumaliza na ufaulu mzuri
kwenda diploma imekaaje.

Kuna Mtu kaniambia eti unanza upya so it means utasoma miaka 3 tena. jumla mitano mpaka kupata diploma.

Je hii ni kweli, I am form six level but sikufanikiwa kufaulu
 
Inatokana pia na aina ya course ya diploma na ufaulu wa A-level atakao kuwa nawo ili asome miaka miwili au mitatu kwa ngazi ya diploma
 
ila jaman nacte c wanatmia vyeti vya form 4. hv ni vyuo gan wanapokea vyeti vya fom six
. kwakua nacte kam umemalza form 4 zaid ya miaka mi5 hawakubali
 
Mkuu Form six ktk technical colleges huapply kwa vyeti vyao vya form four na wataanzia NTA four up to six miaka mitatu net
 
ila jaman nacte c wanatmia vyeti vya form 4. hv ni vyuo gan wanapokea vyeti vya fom six
. kwakua nacte kam umemalza form 4 zaid ya miaka mi5 hawakubali
ila jaman nacte c wanatmia vyeti vya form 4. hv ni vyuo gan wanapokea vyeti vya fom six
. kwakua nacte kam umemalza form 4 zaid ya miaka mi5 hawakubali
uongo huu ..acha kupotosha ..hata waliomaliza 1995 wanapata chuo
 
Back
Top Bottom