Sehemu kubwa ya tatizo ni kwenye mkataba wa awali na mabadiliko yaliyotokea baada ya kuingia mkataba ule. Wakati Fei Toto anaingia Yanga, ilikuwa siyo timu ya juu na wala yeye mwenyewe hakuwa mchezaji star, kwa hiyo mkataba aliokuwa nao wakati ule ulikuwa ni mzuri kwa pande zote mbili na wala hakuwa na malalamiko. Sasa hivi Yanga imekuwa timu bingwa kiasi kuwa thamani ya wachezaji wake imekuwa ya juu sana, na hata jina la Fei tot limekuwa kubwa. Ilitakiwa Mkataba wake uangaliwe upya mapema sana tangu Yanga waliponyakuwa makombe yote ili uendane na mabadiliko hayo yaliyotokea.Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Haina rivasi hiyoNimeona picha yupo Fei Toto, Hersi Said, Arafat Haji na Patric Saimon. Wapo na Fei na anaonekana kasaini mkataba,
Je karudi Yanga?
weka hapa hiyo picha ili tuamini.Nimeona picha yupo Fei Toto, Hersi Said, Arafat Haji na Patric Saimon. Wapo na Fei na anaonekana kasaini mkataba,
Je karudi Yanga?
Kwa hiyo kolo wamefeli. Kurudi sawa ni vizuri kama anauzika auzwe. Wachezaji wote sasa watataka kuboreshewa mikataba.weka hapa hiyo picha ili tuamini.
Kutoka kwao Zenji.Karudi kutoka wapi mkuu?
NYI KWELI NI MBWA" nimesema weka picha tuamini we unaleta ngonjera.Kwa hiyo kolo wamefeli. Kurudi sawa ni vizuri kama anauzika auzwe. Wachezaji wote sasa watataka kuboreshewa mikataba.
Hapo sawa!Kutoka kwao Zenji.
Kuna watu wengi ma Mbumbumbu wa Mikataba, Feisal alikua akilipwa kulingana na matakwa ya kimkataba hatakama aliongeza jitihada katika kazizake bado alipata stahili yake.Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Kwani alishaondoka?Nimeona picha yupo Fei Toto, Hersi Said, Arafat Haji na Patric Saimon. Wapo na Fei na anaonekana kasaini mkataba,
Je, karudi Yanga?
Sawa na yeye ni mshabiki halali wa yanga yupo hapo kuifanya yanga inampa raha na si kumnufaisha mchezaji pekee.kwa hiyo usimbeze kila mtu anakitu chake anakitafuta.kikubwa zaidi kila mtu afuate sheria ili mambo yaende.Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
Kwani kipindi kile anasaini hiyo pesa alilazimishwaMambo ya kulipana Afutatu yamepitwa na wakati.
Akili yako ni kisoda sana .kwani uliambiwa yanga imemzuia asiende kwenye maslahi mazuri? Yanga inasisitiza sheria ifuatweHuna akili pimbi wewe, umeambiwa kama kaonekana Avic basi ujue kuna maboresho katika mkataba wake maana Fei ni muajiliwa na ana haki ya kutafuta malisho sehemu nyingine kama akiona Yanga hapati anachohitaji, habari za kudhulumiwa zinakujaje!!!??? Kweli we ni utopolo og
Wewe ni mke wa Feisali?Karudi na wamekubaliana kama ifuatavyo
Mshahara 17.5m
Nyumba 800,000
Fuel 50litres per week
Car service 1,500,000 per month
Sasa hivi jamii forum imevamiwa na viraza.sijatarajia jamii forum ya sasa iwe na watu kama hawa ambao hata kufikiri hawaweziHuyo Aziz akiumwa au akiwa majeruhi nani anacheza?, FEISAL na Mabosi wake inaonekana Walikuwa wanabishana juu ya issue ya mshahara wa FEISAL. Na inaonekana walimtishia kuleta hizo fedha ili mkataba wake uvunjwe, Sasa alipoleta ndio wakaenda kwenye kipengele cha Sheria za mikataba.
Kwasababu, mtu mwenye akili timamu hawezi kuamuka tu, na kupeleka milioni 112, benki bila kuwa na kutoafikiana katika suala la maslahi.
NB
Umesaini mkataba mwaka juzi na gharama za maisha zinapanda kila uchao, kwanini maboresho yasifanyike ili mchezaji awe na Ari na morali ya timu yake?( Kumbuka, malipo duni ndio yanamfanya FEISAL kutaka kuhama YANGA. Dawa yake ni kuboresha maslahi yake, siyo kumwambia akumbuke masharti ya mkataba).
KIFUPI: FEISAL naye anapenda kutanua kama wengine. Kwahiyo, tuache kumtwisha misalaba isiyomhusu.
Duuu kwa hiyo ukichukua makombe ni balaa ? Sijatarajia kuona jamii forum kuwa na vichwa kama hivi.Uongozi wa jamii forum iangalie watu wa namna hii wanaichafua jukwaa hiliSehemu kubwa ya tatizo ni kwenye mkataba wa awali na mabadiliko yaliyotokea baada ya kuingia mkataba ule. Wakati Fei Toto anaingia Yanga, ilikuwa siyo timu ya juu na wala yeye mwenyewe hakuwa mchezaji star, kwa hiyo mkataba aliokuwa nao wakati ule ulikuwa ni mzuri kwa pande zote mbili na wala hakuwa na malalamiko. Sasa hivi Yanga imekuwa timu bingwa kiasi kuwa thamani ya wachezaji wake imekuwa ya juu sana, na hata jina la Fei tot limekuwa kubwa. Ilitakiwa Mkataba wake uangaliwe upya mapema sana tangu Yanga waliponyakuwa makombe yote ili uendane na mabadiliko hayo yaliyotokea.
Basi wewe ni pumba usiyefaa kusoma threads za JF kama hujui kuwa thamani ya timu pamoja na wachezaji wa timu huendana na titles zilizochokuliwa na time hiyo. Vinginevyo basi hakuna haja ya timu kushindania ubingwa na kuwalipa wachezaji fedha nyingi ili kuwasajiri. Gharama za kumhamisha mchezaji kutoka timu yenye ubingwa ni juu ya gharama za kumhamisha mchezaji mwenye sifa hizo hizo kutoka timu isiyokuwa na ubingwa.Duuu kwa hiyo ukichukua makombe ni balaa ? Sijatarajia kuona jamii forum kuwa na vichwa kama hivi.Uongozi wa jamii forum iangalie watu wa namna hii wanaichafua jukwaa hili
sio viraza ni vilazaSasa hivi jamii forum imevamiwa na viraza.sijatarajia jamii forum ya sasa iwe na watu kama hawa ambao hata kufikiri hawawezi
Fei nje umri umemuacha,angeenda ile 2019 baada ya afcon sawa so hii peak ingemkuta angalau Belgium au France tungebaki na Amunike wachezaji wengi wangeenda UlayaHuyu Toto hatoweza kufanikiwa kwa kuwasikiliza wana-siasa
Kikwete na Nchemba
So hapo sioni Kama Rais wa mawe kamtendea haki angemuacha atafute Green pastures
Maana kwa efforts zake angeenda nje kupitia Azam