Je,endapo mabeberu wakitengeneza dawa feki inayofanana na ya Madagasca tutadhibiti vipi isiingie kwa wananchi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Naiomba serikali inapojipanga kuagiza dawa kutoka Madagasca wajipange pia kudhibiti dawa feki kutoka kwa watu mbalimbali zisiingie kwenye mzunguko maana tunaweza wateketeza Watanzania wengi zaidi.

Kama machine za kupima covid zimeonekana zina tatizo, nawaza dawa ambayo mtu yoyote anaweza kutengeneza chupa na lable Kama ya Madagasca tutadhibiti vipi.

Tusipojipanga na tukawa na machine au vipimo vya kutofautisha dawa halisi na dawa feki tutaliingiza Taifa kwenye matatizo zaidi. Lazima shirika la viwango liwe na wataalamu wakuitambua dawa mpya pamoja na machine.

Kwenu wananzengo
 
Tuwe makini na hawa mabeberu hawalitakii mema Taifa letu la Tanzania. Wanaweza wakatupa misaada na mikopo feki.
 
Kuna Uwezekano Mkubwa Mabeberu ni sisi kwa Sisi kwani pia Shetani wa mtu ni Mtu mwenyewe........
 
Back
Top Bottom