Majibu rahisi kwa maswali magumu. Hizo ndio siasa zetu na viongozi wetu Tz!jibu unalo kwamba miundombinu ni mibovu ni rahisi sana kutekeleza hilo hata mimi ningeweza si nengechukua tu pesa ya rada na ninge ifanya dar kuwa kama paris
Majibu rahisi kwa maswali magumu. Hizo ndio siasa zetu na viongozi wetu Tz!