dagaa zina msimu xo kuna kupanda na kushuka inategemea na muda wenyewe mfano kipindi cha upepo mkali kuanzia mwezi wa 6 had 9 hua dagaa ni adimu pia kukiwa na mwezi mkubwa dagaa ni adimu pia xo price inapanda. kwa kawaida kitini cha dagaa hua 6,000 nadi 10,000.