Je crypto inamilikiwa na illuminati?

"... ni ngumu kucontroll maana haina watu kati(middle man) wala mtu wa kufuatilia michakato yake na identity ya wanaofanya miamala(centralized system) wala wanaoimiliki, hivyo ni ngumu kutrace identification/location..."

☝️ Mkuu, ni kweli ni ngumu lakini inawezekana. Hatumjui Satoshi Nakamoto ni nani, what if ni CIA? What if Satoshi ni Illuminati? I mean, lolote linawezekana, never say never.

As long as ni teknolojia iliyotengenezwa na binadamu, lazima ina mapungufu, maanake ni kwamba inaweza kuwa controlled, na inaweza kuwa traced.

Blockchain inarekodi miamala yote hadharani. Maana yake ni kwamba, serikali zinaweza kutumia hizo data za miamala, mfano, kufuatilia pesa zilikoenda. Na kama wanaweza kujua pesa zilikoenda, vingi vinawezekana baada ya hapo.

Kampuni ya Chainalysis inafanya hizo mishe tangu 2014, kwa kushirikiana na FBI, DEA, IRS, NCA n.k.
 
Hizi stori zinazungumzwa bongo tu, kwingine hamna mambo ya kufikirika tu na imani potofu. Hamna mtu wala watu wanaocontrol assets kwnye blockchain, period
 
Kitu gani ambacho hawamiliki? Kilichobakia sasa ni ku centralize pesa, ili waweze ku control matumizi ya mtu mmona mmoja. Pesa ikiwa mfukoni kwako hawataweza, inapaswa kuwa digital ili iwe rahisi kudhibiti.
Hata bila kuwa digital still ni wao ndio wanaicontrol mifumo yote ya pesa duniani kuanzia mikopo
 
. Illuminati nayo inasadikika tu, hakuna mwenye uhakika na hilo jambo kama ipo au haipo..

. Bila kushirikisha illuminati, pesa yenyewe tu ni pepo/uchawi/freemason tosha.
Freemason uchawi Pepo navyo ni usadiki tu
 
We unajua freemason na illuminati ilianza lini, matumizi ya jicho all seeing eye yalianza baada ya mnara wa Babel kumuenzi kiongozi wao aliyeitwa Nimrod ndie muasisi wa alama hio inaitwa humiliation ritual sadaka ya kujiumiza, ambayo inawakilisha ushoga kwa wanaume members yeyeto wa hizi secret society ukifika level za juu ni lazima ufanye hio sacrifice yaani kuliwa marinda ili kumuenzi muasisi wao.
Ndo maana si ajabu kuona viongozi,wasanii ,watu wakubwa wananguvu ya kupromote ushoga kwa sababu wote tayari washafanyiwa hicho kitendo kwao ni kafara
 
Zile alama za jembe na nyundo kwenye nembo ya CCM humaanisha ni wakulima na wafanyakazi si ndio...

Lakini mbona CCM ni ya wala rushwa na mafisadi tu wenye kujilimbikizia mali kwa faida zao binafsi..

Alama ama nembo huwa haibebi uhalisia.
 

Unamwambia nani aamke?

Nadhani yakupasa wewe uamke kutoka kwenye ujinga wa Politics, aliyekwambia crypto sio regulated nani? Unadhani Middle man ndio kikwazo pekee cha wao kutodhibiti currency? Issue ni moja, crypto ipo kwenye muundo wa matumizi yasiyo rasmi kiasi cha serikali kutoweza ku control, kama hakuna mifumo ya malipo na miamala (transactional gateways) crypto haina maana yoyote, bado ni digital currency ambayo kwenye mfumo wa Mabenki ipo kwenye trials, kinachofanyika haipo regulated kwa sababu bado haina mifumo ya kulinda maslahi ya global financial bigwigs.

Kuhusu hilo jicho ni All Seeing, asili yake sio kirahisi hivyo kama unavyozungumza kwamba inaishia kwenye knowledge, bali ni the hidden knowledge ambayo lengo la kuwa hidden ni kutumika ku control na ku regulate mass. Jifunze kuhusu Freemason vizuri, usidhani kila mtu anajua Mason kuhusu wengi wanayo amini na kufahamu.

Issue ni moja, ngoja i fit in na mfumo wa uchumi wa dunia, ndio utajua kama ni regulated au unregulated. Issue ya middleman absence ni poor reasoning.
 
Hata bila kuwa digital still ni wao ndio wanaicontrol mifumo yote ya pesa duniani kuanzia mikopo
Nadhani wewe umenielewa, hawa jamaa wa cryptos wanaongozwa na narratives, trust me. Kuna umuhimu mkubwa wa kujifunza kuhusu global politics, hawa jamaa wengi ni short sighted, hawaijui Historia ya Ulimwengu, wanachojua wao ni ku trade tu. Ila mambo sensitive kama financial control hawazijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…