johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.
Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!
Jibu kwa upole bila mapovu!!
chadema inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.
Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!
Jibu kwa upole bila mapovu!!
Kwani ni nani ndani ya CHADEMA ana maadili?
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
anayo Nape na KinanaKwani ni nani ndani ya CHADEMA ana maadili?
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
Ya nini? Kwani umeambiwa chadema kuna mafisad? Waliokosa uadilifu wametupwa.