GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,143
Wanabodi,
Kuna wakati wafuasi wa kanisa la Full gospel Bible church linaolomilikiwa na Askofu Zakaria Kakobe waliwahi kudai hati za ardhi za kanisa na viwanja wakijua zimeandikwa jina la kanisa wakaja kushtuka wamepigwa na kitu kizito mahakamani ,Kumbe lile kanisa ni mali ya kakobe viwanja ,nyumba na ardhi vyote vimesajiliwa kwa majina ya Zakaria Kakobe na siyo kwa majina ya kanisa
Ashakumu sio matusi kuna tatizo kubwa kwa wafuasi wa chadema kwa kutojua mmiliki halali wa chadema ni nani ? Na wao ni akina nani ndani ya chadema na mipaka yao ni ipi?
Yawezekana Chadema ni mali ya Mbowe na Mbowe ndie chadema mwenyewe,Na hili amelithibitisha mwenyewe kwa kauli yake na nainukuu hapa;
"NIKIONA CHAMA CHANGU KINAPOTEA NITAINGIA MZIGONI MWENYEWE KUKIPIGANIA"
"NIMEPOTEZA MALI ZANGU NA KUFIRISIWA BIASHARA ZANGU NA NIMEVUJA JASHO NA DAMU KWA AJILI YA CHAMA CHANGU NILICHOKIASISI SITAKUBALI KIPOTEE KIRAHISI "
"NiPO SANA CHADEMA NA NITAENDELEA KUWEPO NA NITAGOMBEA"-Kauli hii inaonekana hakuna mtu anayeweza kumfukuza Mbowe chadema maana anasema yupo na ataendelea kuwepo sana
Kuna maswali kwa wafuasi wa hii inayoitwa Chadema,
1.Je,Wamefuatilia nyaraka za usajili na wamezisoma zinasoma majina ya nani ni taasisi au mali ya mbowe?
2.kama ni mali ya Mbowe,Je?Wao waliitwa na nani kujiunga nae,Isije ikawa waliitwa na wapambe lakini Mbowe mwenyewe hawatambui hao wapambe
3.Je? Kama chadema ni mali yake Mbowe. kwanini wafuasi mnataka kumpangia agombee au asigombee uenyekiti wa mali yake
4.Kama wafuasi wapo sawa na hawana tatizo lolote inakuwaje mnataka kushiriki kugawana mali isiyo wahusu wala hamjui ilitafutwa kwa kiasi gani na mmiliki amevuja jasho kiasi gani?
5.Je huko kwa msajili baada ya akina Bob Makani na Mtei kama waanzilishi kutokuwepo duniani ,Hati za usajili zinasoma majina ya akina nani kwa sasa ?Je chadema inasomeka kama taasisi au mali ya mtu
Member mmoja ajulikanaye kama johnthebaptist amehoji sana wanaopiga kelele Mbowe asigombee wanafahamu malengo ya uanzishwaji wa chadema miaka ile ya 1992