Je, Chadema itafilisika kwa kushiriki chaguzi ndogo tatu zitangazwa mapema mwaka huu?

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
140
47
Ni kweli kuwa Chama changu Chadema hakitafilisika kwa kushiriki chaguzi ndogo zitakazotangazwa baada ya Mahakama kutengua ushindi wa Aesh - Sumbawanga Mjini, Godbless Lema - Arusha mjini na Makongoro Mahanga - Segerea kwani mtaji wake ni umma unaokifadhili wakati wa uchaguzi. Hakika kitaendelea kuwa imara siku zote Mungu ibariki Chadema nyosha mkono wako kwa watanzania wanaoteswa na mafisadi tuletee Kiongozi mwenye uchungu na rasli mali za watanzania. Mwana JF tupia mchango wako hapa. Shukrani.
 
Mkuu kama huo ndio mpango wa ccm basi waambie umeshindwa,hela itachangwa toka kwa wananchi wapenda mabadiliko na uchaguzi utafanywa tu. Uliza silinde alitumia kiasi gani kwenye uchaguzi uliopita.
 
Yes KKtabu wewe ni Kamanda wa ukweli,nasema Chadema hatuwezi filisika kama ulivyosema mtaji wetu ni mwananchi nasio kutegemea fedha za Mafisadi na kwa nini Chama cha Magamba kitakufa ni kwamba wanatumia fedha ambazo si halali ndio maana imeandikwa Mshahara wa dhambi ni mauti so mauti hayo sio kwa Bindamu tu hata kwa chama kama ccm Magamba na kwa kuwa watu wanaotumia fedha zao za na ambazo si halali ndio maana hawana siku nyingi,hapo ndo wata...jiarishia
 
Ni kweli kuwa Chama changu Chadema hakitafilisika kwa kushiriki chaguzi ndogo zitakazotangazwa baada ya Mahakama kutengua ushindi wa Aesh - Sumbawanga Mjini, Godbless Lema - Arusha mjini na Makongoro Mahanga - Segerea kwani mtaji wake ni umma unaokifadhili wakati wa uchaguzi. Hakika kitaendelea kuwa imara siku zote Mungu ibariki Chadema nyosha mkono wako kwa watanzania wanaoteswa na mafisadi tuletee Kiongozi mwenye uchungu na rasli mali za watanzania. Mwana JF tupia mchango wako hapa. Shukrani.

Wanachama na wapenzi wa CHADEMA tujipange vema kwa changamot zilizopo mbele yetu na tushiriki kwa hali na mali katika mpango wa M4c. Hakika hatutafilisika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom