Je, CHADEMA inapoteza political legitimacy? Kusisitika kununuliwa kwa wanasiasa wao hakuthibishi kuwa si chama tena bali ni danguro?Je imani bado ipo?

Bepari la bariadi

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
420
673
Nikitafakari hii kadhia ya hama hama,huku wahusika wakisema ni kuunga juhudi, lakini wapiga zumari wakidai wananunuliwa.
Ni dhahiri shahiri hii inaleta mkanganyiko mkubwa sana kwa sisi wananchi wakawaida,maana ni maramia kuchagua watu wa kutoka CCM ilikuokoa mabilioni yanayoteketezwa kwa chaguzi za marudio zinazosababishwa na danguro la chama ninalo fuga makahaba wa siasa, kama mnanunulika kiasi hiki vipi tungewakabithi ikulu hata kwa dakika tano?

Kwa maana naamini kabisa wengi kati ya wanaohama endapo chadema ingeshika dola 2015 wangekuwa mawaziri katika wizara mbalimbali na nyeti kabisaa. Hawa siwangetuuza kabisa.Kwasasa naiona chadema kama genge la wahuni tu kuanzia mwenyekiti taifa mpk mwenyekiti wa mtaa. Maana waweza kufika bei muda wowote.

Ukweli ni kwamba hii inayotokea kwa sasa inaondoa kabisa imani kwa wanainchi, na mkisema wananunuliwa ndiyo mnaharibu kabisa LEGITIMACY yenu ya kupewa madaraka na wanainji wa inji hii. Tafuteni epicenter ya tatizo hili siyo simple blemings tu.
Povu ruksa kabisa.

Karibuni tujadili ili kukinusuru chama hiki
 
Tumia akili mkuu.
Mbinu za vitisho na kuminya ushiriano majimbo ya wapinzani we huoni clip zake mitandaoni na kila taarifa za habari? Kesi kwa viongozi wote nk.
Wananchi tunaona.
 
Mmh..
Mie ninaamini hivi viumbe kweli vipo..
Mie nakataa mzee! Issue za anunaki ni zilezile za mazalia ya malaika waasi walioanguka duniani wakawalala wanawake wa kibinadamu na kuzaa

Hilo ni danguro ,full stop
lakini unazungumziaje kuhusu danguro linaloingiza malaya wa kununua kila siku mkuu!!??

Kwa maoni yangu yote ni madanguro ya kunuka, full stop!!
 
Jamaa anatoa sababu za kindergarten kabisa aisee
Sababu za kindergarten kwenye umalaya huu zina work better kulipo sababu za ma professors!! Haina haja ya kuumiza kichwa kufikiria jibu la wazi ni upuuzi kufikiri kwamba sisiem ni chama pendwa na chadema ni chama chukiwa!! NI UPUUZI NASEMA!!
 
Back
Top Bottom