Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa?

Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa?

Wakuu salama…

Jioni hii umetoka uteuzi wa Balozi Suzana Kaganda kupangiwa nchi ya Zimbabwe kama Balozi wetu huko.

Kabla ya uteuzi huo, Balozi wetu alikuwa Simon Nyakoro Sirro.

Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa au nae ameomba kupumzika?
Kastaafu
 
KAZI anayokwenda kufanya ni ya muhimu zaidi kuliko huo ubalozi. Stamico Ina majukumu makubwa sana ya kusaidia kuwalea wachimbaji wadogo wa Madini. Stamico ndio shirika la SERIKALI linalowekeza ktk Sekta ya MADINI. Kama mwenyekiti wa bodi anawajibu Mkubwa kabisa wakuhakikisha Sekta ya wachimbaji wadogo inastawi na kuongeza mchango wake kwenye Pato la taifa utokanao na sekta ya madini. Kwa Sasa wachimbaji wadogo wanachangia 40 percent ya mchango wote wa Sekta. Na sekta inakua kwa zaidi ya 17%.

Siro atatumia taaluma yake kuhakikisha Stamico Ina deliver. Kila la heri mheshimiwa balozi Siro. Karibu kwenye industry
 
Back
Top Bottom