Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,901
- 287,999
Kuna mambo hatakiwi kuyasemaAmejifunza mengi kwa yaliyotokea na yanayoendelea kujiri.Anajibu kwa tafakari kubwa na misemo yenye mbinu kali.Muelewe tu.
Tumemkumbusha kutokana na habari ya hapo chiniMbona habari hii ni ya 2018?
Anaingia kirahisi kwenye mitego ya maswali ya wanaomuhoji.Kuna mambo hatakiwi kuyasema
HakikaKwanini hawa wanaita media press Kwanini wasikae Kimya Tu au watawala wamewakaushia wanatafuta Njia za kuonekakana na wao wanaunga Mkono juhudi
Kwa hiyo ukweli upo na unajulikana vizuri,sivyo?Basi,akitokea mtu ameufumbia macho,kwa nini asipuuzwe?Huyo mzee anajifanya haoni ukweli kwa sababu ya kulinda maslahi yake tu.
In fact, ukimfumbia macho mtu anayepotosha ukweli wa mateso ya watu, unakuwa unashiriki kishabiki kwenye huo uonevu bila wewe kujijua.Kwa hiyo ukweli upo na unajulikana vizuri,sivyo?Basi,akotokea mtu ameufumbia macho,kwa nini asipuuzwe?
mwenye fikra kama zako huenda akawa mwendawazimu 🐒
Kumpuuza ni hatua ya awali.Kinachofuata ni kuiweka taarifa hiyo kwa usahihi ili isimezwe na uongo au upotoshaji.In fact, ukimfumbia macho mtu anayepotosha ukweli wa mateso ya watu, unakuwa unashiriki kishabiki kwenye huo uonevu bila wewe kujijua.
Ngoja tuoneLabda dishi limeyumba
Mkuu. Maponchoro siyo watu. Wabinafsi wakubwa hawa. Ndiyo maana mimi sikuona umuhimu wa kupiga kelele wakati MO alipotekwa.Amejifunza mengi kwa yaliyotokea na yanayoendelea kujiri.Anajibu kwa tafakari kubwa na misemo yenye mbinu kali.Muelewe tu.
DuuuuhMkuu. Maponchoro siyo watu. Wabinafsi wakubwa hawa. Ndiyo maana mimi sikuona umuhimu wa kupiga kelele wakati MO alipotekwa.