kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 419
Kwa hiyo Accountancy ndio ya vilaza???Soma accountancy ajira nje nje
Kwani kasema ya vilaza? Yeye c kasema ajira nje njee????? Au we umeelewa vpKwa hiyo Accountancy ndio ya vilaza???
Kama ni kilaza asijalibu hata kusogeza mguu ila we nae mjinga Sana kumuita mtu kilaza Aina maana nzr hata Kama unao uwezo Sana ila sometimes rekebisha kauli zakoKwa hiyo Accountancy ndio ya vilaza???
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:
1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science
Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?
Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.
Asanteni
Chuo cha Maji akasome Water Laboratory Technology kwani ina wigo mpana wa ajira serikalini na private sector (Viwandani)
soma pharmacy inanafasi tatu utajuajiri au utaajiliwa na serikali au privateMtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:
1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science
Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?
Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.
Asanteni