Inakuwa tamu kama asali eti!, mi navosikia inatibu kwa wale wenye mto huko chini inakausha kausha, sijui lakini kama ni kweli.
Ila tatizo la waafrica tiba asili tunazidharau, ukipewa kidonge na mzungu cha kuweka huko unaweza ila tiba asili uamini. Hii tiba alipewa shost wangu wa kihaya na aliniambia alipona.
Ila sio unamwaga asali huko kuna jinsi ya kuweka so kama unaumwa kweli..ni pm nikupe no ya huyo rafiki yangu akuelekeze mi mchaga kwetu hakuna ziwa wala bahari!