henry normal
Senior Member
- Jun 13, 2015
- 120
- 31
Kwema jamani naomba kuuliza kuusiana na Dawa Aina ya amplicox je inatibu uti.
Amplicox hutibu nini?
Amplicox hutibu nini?
Kwema jamani naomba kuuliza kuusiana na
Dawa Aina ya amplicox je inatibu uti..
Amplicox utibu nn
Nmekuelewa nduguNdio inatibu kabisaa UTI ila ikiwa katika kiwango kidogo....na kwa mtu ambae ameshazoea kumeza dawa kubwa kuliko Ampiclox kama vile.....cipro...azuma....akitumia hii Ampiclox inaweza isilete matokeo