Je! Ajenda ya Dr. Bashiru ina ufanano na ya Ndugai?

Je! Ajenda ya Dr. Bashiru ina ufanano na ya Ndugai?

KBG SCORPION

Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
45
Reaction score
45
Wadau habari!

Nawaza tu na kutafakari hoja ya Dr. Bashiru dhidi ya Mh. Rais

Kumsifia Raisi kwa mazuri ayafanyayo si dhambi. Utamaduni huu haujaanza Leo labda tu kama anayesifiwa, Bashiru anakerwa.

NDUGAI nae alikuja na staili yake, yaliyomkuta sote twajua. Kama Bashiru hatachukuliwa hatua za kinidhamu, nitajua kuwa "Kitengo" wamembebesha AJENDA kwa lengo maalumu hapo baadaye!

Muwe na Dominika njema wote!
 
Yeye kasema na kawasemea wananchi wanyonywaji, hayo mengine ndo siasa yenyewe. Siasa ni kamali
 
Back
Top Bottom