je ahmed ally ana gundu?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,673
Reaction score
3,740
Toka awe msemaji wa simba hamna kikombe walichowahi kubeba ji ni ngundu?
 
Toka awe msemaji wa simba hamna kikombe walichowahi kubeba ji ni ngundu?
Tatizo la Simba SC ni wanachama kama wapo, wameamua kuwa na uongozi amabao hauko makini

Kuendesha timu kwenye mitandao, (You Tube), kwa lugha rahisi nyuma ya mikamera
 
Hana gundu, ni issue ya quality ya wachezaji wa timu yake. Jamaa anapambana sana basi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…