Je, ACT wazalendo kuwa chama tawala mbadala?

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Kwa namna ambavyo chama cha Act wazalendo kinazidi kuimarika ni wazi sasa chama hiki kitafanya vizuri siku za usoni. Ukiangalia teuzi walizopata kwa mh Rais, utagundua wateule wake wamepewa nafasi nyeti. Kitila ni katibu mkuu wizara nyeti ya maji inayoongozwa na aliyekuwa NW wa mh Rais pale ujenzi. Anna amepewa mkoa nyeti ambao ndio kitovu cha upinzani nchini. Hii peke take inaonyesha jinsi mh Rais alivyo na imani na chama hiki ikizingatiwa kuwa hats ilani ya uchaguzi ya Act alikabidhiwa. Nafikiria tu kwamba hata Machali na wale wengine walioikimbia Act ni bora wangebaki kama lengo la kukimbilia CCM ilikuwa kutafuta madaraka. Namuona Felix Mkosamali kama mteule ajaye wa nafasi za uDC, hivyo nimshauri tu KC Zitto azichukulie teuzi hizi kama fursa kwani kupata nafasi ya kuongoza serikali pamoja na CCM so jambo dogo hata Chadema au Cut wangetamani kupata fursa hiyo ila muda wao bado wao wataendelea kusaidia kule Tamisemi huku serikali kuu itabidi wasubiri.
 
Hapo mwishoni umeharibu eti CUF na chadema wanatamani kupata fursa hyo??? Kma level ya halmashauri tu chadema huwa inagoma kushare uongozi na CCM sembusee serikali kuu??? Hata hao CUF si walijitoa SUK ssa kma wanatamani kufanya kaxi na ccm si wangebaki SUK???
 
Back
Top Bottom