The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
Matumizi ya nyumbani.1. Unajua maana ya hiyo 9.1?
2. Unanunua hiyo soundbar kwa matumizi gani?(Movie or Music)?
Matumizi ya nyumbani yapi specifically?Matumizi ya nyumbani.
Sijui maana ya 9.1
Anayenunua kwa matumizi ya nyumbani maana yake ni kwambaMatumizi ya nyumbani yapi specifically?
Unanunua kwa ajili ya Kusikiliza Music au Kuangalia Movie au kitu gani specifically?
Inabidi uspecify matumizi ya unachonunua, ili baadae usianze tena kulalamika kuwa kina perform chini ya expectations zako.
Anayenunua kwa matumizi ya nyumbani maana yake ni kwamba
Atatumia kusikiliza muziki
Atatumia kuangalia muvi
Atacnnect na kifaa kingine wakati akicheza gemu
Kifupi atatumia kwa matumizi ya nyumbani unayoyajua wewe.
Umeelezea vizuri.Anayenunua kwa matumizi ya nyumbani maana yake ni kwamba
Atatumia kusikiliza muziki
Atatumia kuangalia muvi
Atacnnect na kifaa kingine wakati akicheza gemu
Kifupi atatumia kwa matumizi ya nyumbani unayoyajua wewe.
Asante sana mkuu..JBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu
[emoji3541]JBL 2.1 total power up to 300W
[emoji3541]JBL 5.1 total pwer up to 510W
[emoji3541]JBL 9.1 total pwer up to 820W
Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?
[emoji967] kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani
[emoji117]like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even [emoji335] computer ama laptop
[emoji3541]JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo [emoji16][emoji16], kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.
[emoji967]So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana
View attachment 2353409
[emoji3541]JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410
[emoji3541]JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga [emoji41]
View attachment 2353411
[emoji967]Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..[emoji967]
[emoji3541]Tuje kwnye Gharama ama bei zao
[emoji383]JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M
[emoji383]JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M
[emoji383]JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M
[emoji117]Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M [emoji16][emoji16][emoji16] but those are with same quality
Naomba kujua aina nzuri za original jbl earbuds mkuu na mahali ninapoweza kuzipata.Tuko hapa kuelemishana kamanda, kula madini hayo ya bure kabisa
Unachopaswa kufahamu ni kwamba hakuna sound system Inayoweza kukupa hayo yote(music & movies) kwa ubora wake wote kwa 100%.Anayenunua kwa matumizi ya nyumbani maana yake ni kwamba
Atatumia kusikiliza muziki
Atatumia kuangalia muvi
Atacnnect na kifaa kingine wakati akicheza gemu
Kifupi atatumia kwa matumizi ya nyumbani unayoyajua wewe.
Ndio uweke details hapa kwasababu mtu hawezi nunua jbl systm mbili ili apate fleva kamili ya muziki akitaka kuangalia muvi azime jbl anayotumia kwenye muziki awashe nyingineUnachopaswa kufahamu ni kwamba hakuna sound system Inayoweza kukupa hayo yote(music & movies) kwa ubora wake wote kwa 100%.
Kuna system ambazo ni "music first", hizi zimetengenezwa ajili ya Music ila zinaweza pia kutumika kwa matumizi mengine kama movies (huko kwenye movies zitakuwa za kawaida)
Kuna system kwa ajili ya movies, kwenye mziki zitaperform ila zitakuwa za kawaida sana kwa upande huo.
etc..etc...
So, mtu anaponunua sound lazima ajue yeye anapendelea nini kwanza. (Yeye ni "music first", "movie first " etc..)
Mtu akishajijua then sasa atachagua sound system kulingana na mahitaji yake
Mkuu, Ulichoongea SIO KWELI na naona unawapeleka watu chaka hapa.JBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu
[emoji3541]JBL 2.1 total power up to 300W
[emoji3541]JBL 5.1 total pwer up to 510W
[emoji3541]JBL 9.1 total pwer up to 820W
Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?
[emoji967] kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani
[emoji117]like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even [emoji335] computer ama laptop
[emoji3541]JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo [emoji16][emoji16], kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.
[emoji967]So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana
View attachment 2353409
[emoji3541]JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410
[emoji3541]JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga [emoji41]
View attachment 2353411
[emoji967]Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..[emoji967]
[emoji3541]Tuje kwnye Gharama ama bei zao
[emoji383]JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M
[emoji383]JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M
[emoji383]JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M
[emoji117]Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M [emoji16][emoji16][emoji16] but those are with same quality
Kuliko kuuliza watu ni bora uweke wazi nini unachojuaMkuu, Ulichoongea SIO KWELI na naona unawapeleka watu chaka hapa.
5.1 na 9.1 SIO kwa ajili ya mziki mnene kama unavyosema.
Elewa kwanza ni kwanini inaitwa 5.1 na 9.1
Hiyo 5 na hiyo 9 unajua inasimama kwa ajili ya nini?
Hongera mkuu umemaliza Kila kitu. JBL. Nina uzoefu nazo. Hakuna haja yakuongezea neno kazi kwake πππJBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu
[emoji3541]JBL 2.1 total power up to 300W
[emoji3541]JBL 5.1 total pwer up to 510W
[emoji3541]JBL 9.1 total pwer up to 820W
Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?
[emoji967] kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani
[emoji117]like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even [emoji335] computer ama laptop
[emoji3541]JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo [emoji16][emoji16], kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.
[emoji967]So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana
View attachment 2353409
[emoji3541]JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410
[emoji3541]JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga [emoji41]
View attachment 2353411
[emoji967]Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..[emoji967]
[emoji3541]Tuje kwnye Gharama ama bei zao
[emoji383]JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M
[emoji383]JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M
[emoji383]JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M
[emoji117]Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M [emoji16][emoji16][emoji16] but those are with same quality
Mkuu, Elewa kwanza nilichosema kwenye comment yangu.Ndio uweke details hapa kwasababu mgu hawezi nunua jbl systm mbili ili apate fleva kamili ya muziki akitaka kuangalia muvi azime jbl anayotumia kwenye muziki awashe nyingine
[emoji3][emoji3][emoji3]Hongera mkuu umemaliza Kila kitu. JBL. Nina uzoefu nazo. Hakuna haja yakuongezea neno kazi kwake [emoji106][emoji106][emoji106]
Hakyanani wabongo bana. Extrovert njoo utue muongozo huku kuna mtu anajua mengi ila hataki kuyasemaMkuu, Elewa kwanza nilichosema kwenye comment yangu.
Yeye Anataka Movies na Music na Games ILA, Swali ni kwamba, Priority yake ni nini zaidi kati ya hivyo vitatu hapo?
Yaani yeye ni mpenzi wa nini zaidi kati ya hivyo vitatu hapo?
Hilo ndio linatakiwa liwe swali la kwanza kujibiwa, ili litoe mwanga wa aina ya kitu anachokihitaji
Si bora ameandika anachokijua? We unapiga siasa tu hata huelezi ujuachoMkuu, Ulichoongea SIO KWELI na naona unawapeleka watu chaka hapa.
Kwanza 2.1 SIO mahususi kwa ajili ya movies. Unaelewa hasa hiyo 2 inamaanisha nini hapo?