kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,343 Reaction score 13,424 Aug 31, 2014 #121 Saint Ivuga said: We mdada hizo ni ndoto za alinacha, jk na kabinet yake wameshindwa kuendesha tz airways sembuse ww kajamba nani? Huh .. Utaishia kuzipanda tu tena za masafa mafupi. Click to expand... Serikali ya CCM imewalemaza na kuwapumbaza akili zenu MUNGU atusaidie vizazi vijavyo visiwe kama hivi.
Saint Ivuga said: We mdada hizo ni ndoto za alinacha, jk na kabinet yake wameshindwa kuendesha tz airways sembuse ww kajamba nani? Huh .. Utaishia kuzipanda tu tena za masafa mafupi. Click to expand... Serikali ya CCM imewalemaza na kuwapumbaza akili zenu MUNGU atusaidie vizazi vijavyo visiwe kama hivi.