juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Duuuu..... Kwa hiyo diamond ndio ANARUHUSIWA KUPONDA WENZAKE!!!??? Wewe ni tatizoNdo umsikie sasa akiulizwa kuhsu mziki wa bongo fleva ndo atapondo wasanii mpaka bas utafkir yeye ndo diamond
Achana na muziki kabisa maana wwtu kama nyie ndio mnaodumaza muziki wetuNdo umsikie sasa akiulizwa kuhsu mziki wa bongo fleva ndo atapondo wasanii mpaka bas utafkir yeye ndo diamond
Asante mkuu,vipi lakiniUna sound kama una obsession na Jaymoe kiasi una pay attention na kila anachosema...
hutokea baadhi ya mashabiki wakawa na mapenzi makubwa na sanaa ya msanii kuliko msanii mwenyewe...
pole saana
naona unamtfutia kick japo yee ni msanii mkubwa tyri!!Jumanne mchopanga ni msanii mzuri sana na ninamkubali sana kuliko msanii yeyote bongo nzima,ila tatizo la huyu jamaa ni uzushi tu.jamaaa ni mzushi sana na nahisi hata tabia za kinafiki lazima anazo.jamaa kaanza kutudanganya miaka nenda rudi kwamba atatoa album inayoitwa Moekmentary,cha ajabu hadi leo ni holla.hakuna cha album wala mixtape.sasa sijui anamuongopea nani.na juzi kati katudanganya tena kwamba atatoa ngoma wiki hii baada ya pesa madafu kufanya vyema,ila hadi dakika hii hakuna ngoma wala nini.kwa nini wasanii wa bongo ni waongo sana? Yaani ni waongo hawaaminiki kauli zao kabisa,hata tukianza kuwaorodhesha hapa waliotoa ahadi kedekede ni wengi sana.hata yule msanii wa Mbeya anaitwa Adili aliahidi kutoa wimbo na cpwaa ila hadi leo sijui kapotelea wapi hata haijulikani alipo,
Yaani we jamaa nimekudharau kama uharo wa urojo, ...Juma Mchopanga kawa Jay Mo kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] ....mrudishie visenti vyake ulivyomlia ili kumpa late kick hata jina lake la kweli hulijui chaaaJumanne mchopanga ni msanii mzuri sana na ninamkubali sana kuliko msanii yeyote bongo nzima,ila tatizo la huyu jamaa ni uzushi tu.jamaaa ni mzushi sana na nahisi hata tabia za kinafiki lazima anazo.jamaa kaanza kutudanganya miaka nenda rudi kwamba atatoa album inayoitwa Moekmentary,cha ajabu hadi leo ni holla.hakuna cha album wala mixtape.sasa sijui anamuongopea nani.na juzi kati katudanganya tena kwamba atatoa ngoma wiki hii baada ya pesa madafu kufanya vyema,ila hadi dakika hii hakuna ngoma wala nini.kwa nini wasanii wa bongo ni waongo sana? Yaani ni waongo hawaaminiki kauli zao kabisa,hata tukianza kuwaorodhesha hapa waliotoa ahadi kedekede ni wengi sana.hata yule msanii wa Mbeya anaitwa Adili aliahidi kutoa wimbo na cpwaa ila hadi leo sijui kapotelea wapi hata haijulikani alipo,
Ndio Jay Mo c anaitwa Juma Mohammed Mchopanga sema yeye kasema Jumanne ndipo kuna ukakasiYaani we jamaa nimekudharau kama uharo wa urojo, ...Juma Mchopanga kawa Jay Mo kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] ....mrudishie visenti vyake ulivyomlia ili kumpa late kick hata jina lake la kweli hulijui chaaa
Inaonekana una mkubal sanaJumanne mchopanga ni msanii mzuri sana na ninamkubali sana kuliko msanii yeyote bongo nzima,ila tatizo la huyu jamaa ni uzushi tu.jamaaa ni mzushi sana na nahisi hata tabia za kinafiki lazima anazo.jamaa kaanza kutudanganya miaka nenda rudi kwamba atatoa album inayoitwa Moekmentary,cha ajabu hadi leo ni holla.
hakuna cha album wala mixtape.sasa sijui anamuongopea nani.na juzi kati katudanganya tena kwamba atatoa ngoma wiki hii baada ya pesa madafu kufanya vyema,ila hadi dakika hii hakuna ngoma wala nini.kwa nini wasanii wa bongo ni waongo sana?
Yaani ni waongo hawaaminiki kauli zao kabisa,hata tukianza kuwaorodhesha hapa waliotoa ahadi kedekede ni wengi sana.hata yule msanii wa Mbeya anaitwa Adili aliahidi kutoa wimbo na cpwaa ila hadi leo sijui kapotelea wapi hata haijulikani alipo,
Kwa hiyo wewe ndio unamjua sana? Haya tuambie jina lake halisi basi na sio kubwabwaja tu hapaYaani we jamaa nimekudharau kama uharo wa urojo, ...Juma Mchopanga kawa Jay Mo kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] ....mrudishie visenti vyake ulivyomlia ili kumpa late kick hata jina lake la kweli hulijui chaaa
Mkuu elewa thread inaongelea niniBora Jaymoe anaeishi maisha take halisi kuliko hao wengine wanao fake