Kamaunampango wa kuwa computer Programmer, Java paradiso ni sehemu nzuriya kuanzia kwa ajili ya kufikia malengo yako.
Unawezakufatilia vizuri mfululizo huu wa tutorial kama umeshasomaintroduction course ya computer science, lakini kama hukubahatikakupata mafunzo hayo ya awali basi usijali kuanzia hapa.
Tutajitahidikuelekeza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza kutengeneza programzako bila kutegemea msaada wa mtu.
Program(Software) yoyote huandikwa kwenye text editor. Hapa tutatumia IDE(Intergrated Development Engene). IDE ni program maalumu ambayoimeandaliwa kwa ajili ya kurahisisha utengenezaji wa program.
Kulinganana mahitaji ya lugha inayotumiwa na programmer mpaka sasa kumekuwa naIDE za aina nyingi, lakini zinazotumika sana na maprogrammerwanaotumia Java ni Eclipse pamoja na IntelliJ
Katikatutorial hii tutatumia Eclipse IDE.
Jinsiya Kudownload Eclipse na kuInstall kwenye komputa yako