Ni ESPIONAGE [emoji736]Nimeziangalia zote kwa muda tofauti. Hakika kwa movies za kijasus na wanayotendewa majasusi pale wanapotakiwa kuwa eliminated kwa jambo lolote either kwa usaliti, kujua siri ambazo hawakupaswa kujua na mbinu zinazotumika katika ulingo mzima wa spyonage hizi movies hakika zimesukwa na kusukika.
Nitaanza kuifuatilia hiyo series ya TREADSOME naimani itakuwa ni moto wakuotea mbali kwa hizi issues.
Ni ESPIONAGE [emoji736]
Siyo spyonage [emoji777]
Asante kwa kunirekebisha mkuu.Ni ESPIONAGE [emoji736]
Siyo spyonage [emoji777]
Hii Ni muvi ambayo one reflect kilichopo kweny shirika la kijasusi la mrekan na hata abandonment ya majasusi wanapokuwa Wana feli mission inafanywa Sana ili taifa kunitoa kwenye liability Ila hii muvi hatari SanaAn injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.
Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa mtiririko huu:-
The Bourne Identity (2002)
The Bourne Supremacy (2004)
The Bourne Ultimatum (2007)
The Bourne Legacy (2012)
Jason Bourne (2016)
Kisha malizia kwa
Treadstone (full season) kila ukipata muda.
____
Je umewahi kuziangalia?
'Ilikuchukuwa? '
Nini uzoefu / maoni yako?
Ni nzuri sana,Hope ni nzuri
Hizi movie nimerudia hata sikumbuki mara ngapi.An injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.
Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa mtiririko huu:-
The Bourne Identity (2002)
The Bourne Supremacy (2004)
The Bourne Ultimatum (2007)
The Bourne Legacy (2012)
Jason Bourne (2016)
Kisha malizia kwa
Treadstone (full season) kila ukipata muda.
____
Je umewahi kuziangalia?
'Ilikuchukuwa? '
Nini uzoefu / maoni yako?