johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,725
mwana jf hatukumaanisha rungwe mgombea rais. hyo post yote hapo haihusiani na siasa ndugu na hiyo headline imewekwa kuonesha aim ya tangazoHili tangazo au kituko...mlichoweka kwenye heading ni tofauti na mnachotangaza..sasa Rungwe mgombea Urais tangazo gani hili
karibu utujaribu mkuu nahiman hauto juta. hyo caption ni kama tangazo tu ili mpita njia uvutiwe kubisha hodi... karibuInaonyesha ni jinsi gani mnavyoweza changanya mizigo ya wateja kwenye clearance maana tangozo dogo tu mmechanganya.shame on U
hicho kizungu ulivojikanyaga! ungaliandika kiswahili tu tukuelewe...we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja uhuru and lumumba street,wdc house 4th floor room no 1 for easily communication contact on #0716561026
karibu tukuhudumie mkuuMmebugi
Nafuta kauli yangu ya awali, naona huduma kwa wateja mpo vizuri, naanza kuamini kuwa mnajua mnachofanya.karibu tukuhudumie mkuu
we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja uhuru and lumumba street,wdc house 4th floor room no 1 for easily communication contact on #0716561026
karibu sana agency fee tunachaj laki 3 kwa gari yyte mbali na gharama zingne muhimu za serikali. tuchek 0716561026Sawa ntakuja kuwatumia muda c mrefu..
Kutoa gari bandarini bei gani mnacharge?
hahahaha usijaji eneo mkuu karibu tukuhudumiehuko lumumba wamejaa matapeli na mafisadi sisiem ndo nyumban kwao
Mbona bei kubwa sana hiyo aisee..!! nini hasa kazi yenu kwenye kutoa gari mpaka mtake kulipwa laki tatu?!karibu sana agency fee tunachaj laki 3 kwa gari yyte mbali na gharama zingne muhimu za serikali. tuchek 0716561026
Unafanyiwaga bei gani?Mbona bei kubwa sana hiyo aisee..!! nini hasa kazi yenu kwenye kutoa gari mpaka mtake kulipwa laki tatu?!