Car4Sale Japanese cars for sale

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,724
we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja uhuru and lumumba street,wdc house 4th floor room no 1 for easily communication contact on #0716561026
 
Hili tangazo au kituko...mlichoweka kwenye heading ni tofauti na mnachotangaza..sasa Rungwe mgombea Urais tangazo gani hili
 
Inaonyesha ni jinsi gani mnavyoweza changanya mizigo ya wateja kwenye clearance maana tangozo dogo tu mmechanganya.shame on U
 
mwana jf hatukumaanisha rungwe mgombea rais. hyo post yote hapo haihusiani na siasa ndugu na hiyo headline imewekwa kuonesha aim ya tangazo
 
Inaonyesha ni jinsi gani mnavyoweza changanya mizigo ya wateja kwenye clearance maana tangozo dogo tu mmechanganya.shame on U
karibu utujaribu mkuu nahiman hauto juta. hyo caption ni kama tangazo tu ili mpita njia uvutiwe kubisha hodi... karibu
 
we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja uhuru and lumumba street,wdc house 4th floor room no 1 for easily communication contact on #0716561026
hicho kizungu ulivojikanyaga! ungaliandika kiswahili tu tukuelewe...
 
karibuni tuwahudumie. tunahusika na clearance za mizigo yoyote duniani kuimport au export. tunakuagizia na kukutolea au kuagiza mwenyewe ukatuletea documents tufanye clearance... karibuni 0716561026
 
Sawa ntakuja kuwatumia muda c mrefu..
Kutoa gari bandarini bei gani mnacharge?
 
we # RUNGWE TRADING CO LTD. deals with clearing and freight forwading across international boundaries. we gives you the delivery satisfaction you have been missing. we # locate at mnazi mmoja uhuru and lumumba street,wdc house 4th floor room no 1 for easily communication contact on #0716561026

huko lumumba wamejaa matapeli na mafisadi sisiem ndo nyumban kwao
 
karibu sana agency fee tunachaj laki 3 kwa gari yyte mbali na gharama zingne muhimu za serikali. tuchek 0716561026
Mbona bei kubwa sana hiyo aisee..!! nini hasa kazi yenu kwenye kutoa gari mpaka mtake kulipwa laki tatu?!
 
Mkuu nitatozwa kodi kiasi gani pale bandarini kwa gari aina ya Toyota harrier ambalo limenunuliwa na kusafirishwa kwa jumla ya milion 14, la mwaka 2005 na cc 2400??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom