AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Asalaam Alaikum
Hivi hawa waswahili maskini wanaishi mabondeni wamemkosea nini huyu January?
Hivi kweli anajisikiaje akienda kulala nyumbani kwake kwenye hekalu lake na familia yake huku wenzake wanalala nje kwenye baridi na mvua ?
Kama kweli anajali mazingira kwa nini yuko kimya kuhusu ushafu ulikithiri wa majumba ya ya wahindi mjini au wachafuzi wa mazingira kwenye viwanda hapo Mikocheni na hasa maeneo ya malalaua au kule mbagala?
Hivi January hizi hasira zake dhidi ya watu wenye hali za chini kama hao wanaishi mabondeni zitamsaidia kweli kwenye medani ya siasa? Kwa nini waonewe waswahili maskini na waachwe hao matajiri kama akina mama Rwakatare.
Hivi january anajua kama viwanja walivyopewa watu wa mabondeni kule mabwepande viliuzwa na wajanja wa huko serikalini?
Kwa kufanya haya maana yake Janauary anatekeleza ilani ya chama gani? Hivi kulinda mazingira Tanzania ni kuvunjia watu majumba tuu?
Nimesikitishwa sana na hizi hatua ambazo hazijazingatia hali halisi ya wananchi na sababu zilizopelekea hali kuwa hivi