January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

Mwaka huu 2022 tuliambiwa ule umeme wa bwawa la nyerere utaanza kuingia kwenye grid ya taifa.

Sasa hii kitaalam tunaitaje na hili tangazo lao.

Ama ndo wanaenda kuunganisha mitambo.
 
Ndiyo kazi aliyoletewa January hapo ili njia za kuwaleta wawekezaji wapigaji na generators ziuzwe,
Samia ndiyo tatiza hapo,,, umesikia ngonjera za kuleta transformer mpya moja hadi kufungwa ni miezi 6 hivyo hilo la umeme mnalo na poleni,,, Lkn kumbukeni kumsema Queen Samia negatively mtafutwa kazi kama Ndugai ila kusema kweli Samia kaharibu na anazidi kuharibu,,,, mmesikia kinachoendelea huko Rufiji??? Nothing is going on
 
Ukisikia JPM anasema tulichezewa Sana ndio huku na tutachezewa kweli tujiandae kisaikolojia.hizi habari za kukatika umeme ili wapige pesa tutazisikia Sana plus mikataba yenye hasara na fine....Na yule juu anaona sawa tu...kila akiambiwa ndio tu fanyeni...Ubovu unaanzia juu .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Januari ana kosa gani?kwanini hamuwi objective,lawama za kijinga hazina maana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Zitto sijawahi kuwamwamini! Yeye ni tumbo lake kwanza,dini kwanza,kigoma kwanza mji wenyewe imezubaa kama kijiji! Anajidai mjuaji kama nini! Very stupid politician
Economic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
 
Hata mimi ndivyo nafahamu... Uongozi uliopita pamoja na mazuri na maovu yake, lakini sifa ya ziada ilikuwa kujipendekeza. Na kutotekeleza majukumu kwa weledi. Professionalism. Ulificha mengi ya ukweli ili kumfurahisha mmoja.
 
Wewe ni kiazi
 
Umewahi kuishi nchi gani mbona kuna nchi zingine umeme haukatiki
 
Kwa hiyo na wewe uliamini uongo huo, mitambo isifanyiwe mantainance kwa muda wa miaka mitano mfulululizo kweli?!
 
Hii nchi imejaa wachumia tumbo tu hakuna kiongozi. Ukiona wanafanya jambo flani ujue wameshachungulia maslahi ya kisiasa huko mbele. Kama yule anayezunguka kutafuta uchifu kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…